Burundi kurudisha wanajeshi wake waliosalimika

Mkuu wa Majeshi ya Warundi amekanusha habari za kwamba Burundi imeondoa Vikosi vyake huko DRC.
Ok. Kwa hiyo, viko wapi? Mipaka yote ya DRC na Rwanda na Burundi ipo chini ya M23. Wao walienda wapi? Kwa hiyo, wao ni wajinga wa kukubali kuzingilwa na M23? Huku kutoka Goma mpaka Uvira, wasichokijua ni kipi!
 
..aliyewashauri DRC waunde jeshi kwa kuungaunga alikosea sana.
Zamani kuna msemo mtu alitumia kuniambia kuhusa wanawake, ila naona unafaa kwa jeshi la Congo. Alisema kwamba, hao viumbe ni kama mbwa. Kwamba palipo na mifupa, ndo huenda huko. Sasa, na wanajeshi hao, hawwezi kuona wenzao wana ahueni, au hawana uelekeo, wakimbize upepo. Hivi, jiulize. Linchi likubwa kiasi kile, ukiachwa na wenzako, utatembea kwa mguu, utajinyonga, utafanyaje!
 
..aliyewashauri DRC waunde jeshi kwa kuungaunga alikosea sana.
Tokea Kongo ipate Uhuru imekuwa ikitegemea Foreign Armies kutatua migogoro yao ya ndani eidha wanategemea Mamluki au Nchi nyingine always imekuwa hivyo.

Jeshi la Kongo limewahi kwenda Rwanda kumsaidia Habyarimana RPF wakatoa Dozi likawa limetosheka na Kipigo likarudi Kongo😆😁
 
Ok. Kwa hiyo, viko wapi? Mipaka yote ya DRC na Rwanda na Burundi ipo chini ya M23. Wao walienda wapi? Kwa hiyo, wao ni wajinga wa kukubali kuzingilwa na M23? Huku kutoka Goma mpaka Uvira, wasichokijua ni kipi!
Kwenye Vita mhanga wa kwanza ni "Ukweli".
 
Tokea Kongo ipate Uhuru imekuwa ikitegemea Foreign Armies kutatua migogoro yao ya ndani eidha wanategemea Mamluki au Nchi nyingine always imekuwa hivyo.

Jeshi la Kongo limewahi kwenda Rwanda kumsaidia Habyarimana RPF wakatoa Dozi likawa limetosheka na Kipigo likarudi Kongo😆😁

..lakini kipindi cha Mobutu Wacongo hawakuuwawa kinyama kama tunavyoshuhudia waliomfuatia.

..Na shida iko kwa Wacongo ambao ni majirani na Rwanda na Uganda. Wacongo wa maeneo mengine hawateseki kama hawa wa Mashariki.
 
Wameanza kuteseka baada ya kuingilia mgogoro wa Rwanda kati ya RPF na Habyarimana.
 
..naanza kuwaza labda Museveni kuwafadhili RPF was a mistake.

..kwanza tumepoteza Watutsi zaidi a milioni 1 kwenye genocide.

..pili tumepoteza Wahutu na Wacongomani zaidi ya milioni 6 kwenye vita vya Congo.

..hata kama mauaji yaliyotokea Congo hayaitwi genocide, lakini watu milioni 6 ni wengi sana.

..Tunapaswa kujitafakari kama Museveni na Kagame ni viongozi ambao busara na maarifa yao yanapaswa kutuongoza.
 
Mimi nafikiria Solution ya kuondoa migogoro hii ya Kiafrika na Ukabila ni kuharakisha Muungano wa Afrika na kuwachanganya Waafrika.
 
DRC iko vitani; Rwanda vitani, Uganda vitani, Burundi vitani! Maziwa makuu pamechafukwa sio siri tena. Nchi inatakiwa kuwa macho kweli kweli hamkani sio shwari.

Haya ngoja tuone jumiya yetu pendwa EAC itachukua hatua gani dhidi ya mtifuano huu. Otherwise, it is irrelevant.
Maziwa makuu ina laana gani?...mbona ni vita tu kila siku? tena ni nchi jirani zinahujumiana.
 
Hatuhitaji ukombozi kutoka kwa M23, matatizo yao yabaki huko huko Kongo walikoamua kutumia mtutu kudai haki zao,sisi hapa tutatumia maandamano na mbinu nyingine za kidemokrasia.

Kupigana Vita ni ujinga.
Hapo kichaa alipiga dozi akili zimefanya kazi.
 
Back
Top Bottom