Burundi kurudisha wanajeshi wake waliosalimika

Katika mwamba hueleweki wewe 🤣🤣🤣🤣 leo uko m23 kesho uko majeshi ya Angola ghafla hatukajaa sawa uko ADF NALU leo uko kwa majeshi ya burundi we nae Yuda wewe🤣🤣
Ukinisisoma vizuri utagundua kuwa mimi ni Pan Africanist sitaki jamii yoyote ya Kiafrika ionewe iwe Watutsi iwe Wabembe iwe Wamakonde ninachotaka ni sisi Waafrika tuishi bila kubaguana au kuoneaana kwasababu likishafika swala la African Unity tukishaliunganiasha Bara la Afrika na kuwa wamoja.

Mungu ibariki Afrika.
 
Very true. Kuna jambo linatafutwa na Rwanda ambalo TISS wanapaswa kuamka. Kuna harusi nyingi sana ambazo serikali ya Kigali inagharamikia. Kuna mbili zinafanyika Moshi mwezi wa 3 na 6 mwaka huu. Zinaandaliwa na Rwanda Kwa jina la wabongo.
Hao hawana jipya. Hao jeuri yao ni siku yule rais wao akitoka madarakani na nchi ikaongozwa na wahutu kama ilivyo Burundi. Si unaona Burundi utadhani hakuna watutsi kama ambavyo unaweza kudhani Rwanda hakuna wahutu.

Jambo la maana ni kwamba nchi nyingi zilishawajua watutsi hivyo haziwataki. Kinachoendelea Congo ndio hicho wakongo hawawataki hao watu kwa sababu hawapendi amani.
 
Watutsi wanajifanya kuwa waisrael wa Africa. Wataumizwa sana
 
Baada ya makundi mengine kutangaza kujiunga, kuongeza nguvu ili rais wa Burundi aondolewe madarakani;
Huku pia waasi wake RED TABARA wakiwa tu umbali wa kilometa 76 kutoka walipo sasa M23,
Rais ameagiza wanajeshi wake hao warudi nchini. Wanaorudi, wanafikia katika bonde la RUSIZI, kwa maandalizi ya kuikabili RED TABARA ikiamuwa kukiwasha.

Kutoka Uvira kwenda Bujumbura, umbali ni chini ya km 35.
Afrika
 
Hivi hao Waasi wa "Twigenaho" ni nani na wanataka nini?!
TWIRWANEHO. Maana yake, tujipambanie wenyewe.

Ni kikundi cha wanaume wa kinyamulenge kilichoamua kukabiliana na waliokuwa wakija kuwauwa na kuwapora ng'ombe wao.
Walikuwa na watoto au ndugu jeshini, wa vyyeo vikuu. Waliwachukua wenzao, wakarudi nao kwao huko vijijini, walikuja na silaha zao. Na kama wanajeshi wakubwa, walijua silaha watapata wapi. Walikuja wakawachukua vijana wote au wanaume ambao bado mwili una nguvu, walifundishwa kutumia bunduki, safari ikaanzia hapo.
 
Kumbe ni freedom fighters, nimesikia wameungana na M23.
 
Baada ya makundi mengine kutangaza kujiunga, kuongeza nguvu ili rais wa Burundi aondolewe madarakani;
Huku pia waasi wake RED TABARA wakiwa tu umbali wa kilometa 76 kutoka walipo sasa M23,
Rais ameagiza wanajeshi wake hao warudi nchini. Wanaorudi, wanafikia katika bonde la RUSIZI, kwa maandalizi ya kuikabili RED TABARA ikiamuwa kukiwasha.

Kutoka Uvira kwenda Bujumbura, umbali ni chini ya km 35.
Janaaaa wamesema wanayanga kuanza mapiganooo wikijayoi huyufala WA Rwanda wamemkalia kimya subiri ANARUDI kote
 
Back
Top Bottom