Mahakama ya rufaa nchini Burundi imemwachia huru kwa masharti mwandishi wa habari Sandra Muhoza, hatua inayohitimisha kizuizini cha karibu miaka miwili kilichoibua hofu mpya juu ya uhuru wa habari nchini humo.
Muhoza, ambaye ni mwandishi wa habari wa shirika la La Nova Burundi, alikuwa akituhumiwa kwa kusambaza taarifa nyeti kwenye kikundi cha faragha cha WhatsApp. Mahakama imemfutia shtaka la kudhoofisha umoja wa kitaifa, lakini imedumisha hukumu ya kuchochea chuki za kikabila kosa ambalo lina adhabu ndogo ya kifungo cha hadi miaka miwili.
Soma pia Burundi: Mwandishi wa habari ahukumiwa miezi 19 gerezani baada ya kukutwa na hatia ya kuvuruga usalama wa nchi na kusambaza taarifa za ukabila
Mwandishi huyo aliachiwa kwa masharti tarehe 4 Machi, baada ya kuonekana akiwa amedhoofika kiafya wakati wa vikao vya awali vya mahakama. Wakili wake, Eric Ntibandetse, amekaribisha uamuzi wa kumfutia shtaka kuu, lakini amesema kuwa kesi hiyo haina msingi, akisisitiza kuwa hata shtaka lililobaki halina ukweli wowote.
Ndugu wa mwandishi huyo wamesema kuwa kumuweka kizuizini kwa muda mrefu kiasi hicho kwa kosa ambalo mwishowe limeonekana kuwa dogo, kunaibua wasiwasi mkubwa kuhusu haki katika mfumo wa mahakama.
Chini ya uongozi wa Rais Évariste Ndayishimiye, Burundi imejaribu kujiondoa katika hali ya kutengwa kimataifa. Hata hivyo, makundi ya haki za binadamu yanasema kuwa mabadiliko bado ni madogo, huku nchi hiyo ikiendelea kushika nafasi za chini kwenye viwango vya kimataifa vya uhuru wa habari.
==============
A Burundian appeals court has partially acquitted journalist Sandra Muhoza, ending a nearly two-year detention that has raised fresh concerns about press freedom in the country.
Muhoza, a reporter with La Nova Burundi, had been accused of sharing sensitive information in a private WhatsApp group.
The court cleared her of undermining national unity but upheld a conviction for racial hatred — a charge carrying a lighter sentence of up to two years.
Release sparks relief and criticism
The journalist was released on parole on March 4 after appearing visibly weakened during earlier court hearings.
Her lawyer, Eric Ntibandetse, welcomed the acquittal on the main charge but described the case as baseless, arguing the remaining conviction was equally unfounded.
Questions over justice and rights
Relatives say the prolonged detention for what ultimately amounts to a lesser offence highlights serious concerns over judicial fairness.
“Nearly two years in prison for a six-month sentence raises questions of human dignity,” a family member said.
Press freedom under scrutiny
Under President Évariste Ndayishimiye, Burundi has sought to ease its international isolation.
However, rights groups say progress remains limited, with the country ranked low in global press freedom indices.
The case underscores ongoing tensions between state authority and independent journalism in Burundi.
Source: African news