Burundi na Namibia Jumatano kwa Mkapa

Burundi na Namibia Jumatano kwa Mkapa

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,278
Reaction score
797
Wachezaji wa timu ya taifa ya Burundi wakifanya mazoezi katika Uwanja wa michezo wa kimataifa wa Benjamin Mkapa ambao unatumiwa na nchi kadhaa za jirani baada ya viwanja katika nchi hizo kutokidhi vigezo vya Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF).

Burundi itachuana na Namibia siku ya Jumatano Juni 20, 2023 katika Uwanja huo ikiwa ni mchezo wa kufuzu fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON).
IMG_20230619_183921_965.jpg
 
Jumatano (kesho) itakuwa June 21 siyo June 20!
 
Siyo kwa ubaya lakini ila hivi hawaonagi sehemu nyingine ya kwenda kucheza ni lazima TZ-Mkapa Stadium.
Huo uwanja unatumika mpaka kero hivi juzi tu wameanza marekebisho pitch( soccer field) ilikuwa mbovu mpaka vipara.
 
Cha kushangaza mchezaji wa makolo, hatokuwepo kwa sababu tu ya utovu wake sugu wa nidhamu!!
Yaani humu pia unauingiza utopolo wako,usiniambie kuwa umeshindwa kabisa kuihusisha akili japo ya kuvukia barabara kuweza kugundua kuwa sasa huu ni muda wa timu za taifa na ule uzamwamwa wapaswa kukaa pembeni....
 
Taarifa iliyopo ni kwamba mchezaji wa makolo Saido Ntibazonkiza hajaitwa kwenye hicho kikosi kwa sababu ya utovu wake sugu wa nidhamu!!

Sasa kinachokutoa mapovu ni nini?
 
Taarifa iliyopo ni kwamba mchezaji wa makolo Saido Ntibazonkiza hajaitwa kwenye hicho kikosi kwa sababu ya utovu wake sugu wa nidhamu!!

Sasa kinachokutoa mapovu ni nini?
Uwasilishaji wako wa maoni unaoneaha dhahiri kuwa ni mtu mwenye mfadhaiko wa kimaono,

JamiiForums-1286421114.jpg
 
Hivi mfano nataka kwenda kuangalia hii mechi malipo yake yanakuwaje na nalipia wapi!?
 
Back
Top Bottom