Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,278
- 797
Mkuu huyo Peter Shelulile ni km Mayele kumi ndani yake. Huyo Jamaa ni Lewandowski mtupuDah Burundi wamechemka, wasingemuacha mfungaji bora wa NBC hata mimi ningekuja uwanjani kuona duel ya Saidoo na Shelulile.
Anajua kutumia vizuri nafasi anazopataMkuu huyo Peter Shelulile ni km Mayele kumi ndani yake. Huyo Jamaa ni Lewandowski mtupu
Nani Ntiba!?Cha kushangaza mchezaji wa makolo, hatokuwepo kwa sababu tu ya utovu wake sugu wa nidhamu!!
Huyo huyo..Nani Ntiba!?
Sawa mkuHuyo huyo..
Anadharau hadi Nchi yake?Cha kushangaza mchezaji wa makolo, hatokuwepo kwa sababu tu ya utovu wake sugu wa nidhamu!!
Yaani humu pia unauingiza utopolo wako,usiniambie kuwa umeshindwa kabisa kuihusisha akili japo ya kuvukia barabara kuweza kugundua kuwa sasa huu ni muda wa timu za taifa na ule uzamwamwa wapaswa kukaa pembeni....Cha kushangaza mchezaji wa makolo, hatokuwepo kwa sababu tu ya utovu wake sugu wa nidhamu!!
Taarifa iliyopo ni kwamba mchezaji wa makolo Saido Ntibazonkiza hajaitwa kwenye hicho kikosi kwa sababu ya utovu wake sugu wa nidhamu!!Yaani humu pia unauingiza utopolo wako,usiniambie kuwa umeshindwa kabisa kuihusisha akili japo ya kuvukia barabara kuweza kugundua kuwa sasa huu ni muda wa timu za taifa na ule uzamwamwa wapaswa kukaa pembeni....
Uwasilishaji wako wa maoni unaoneaha dhahiri kuwa ni mtu mwenye mfadhaiko wa kimaono,Taarifa iliyopo ni kwamba mchezaji wa makolo Saido Ntibazonkiza hajaitwa kwenye hicho kikosi kwa sababu ya utovu wake sugu wa nidhamu!!
Sasa kinachokutoa mapovu ni nini?
Ukipata jibu nitag mkuuHivi mfano nataka kwenda kuangalia hii mechi malipo yake yanakuwaje na nalipia wapi!?