Burundi: Rais amfuta kazi Waziri Mkuu, Waziri wa Usalama kuchukua nafasi yake

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,147
Reaction score
2,008
Rais Evariste Ndayishimiye amewafuta kazi Waziri Mkuu Alain Bunyoni na Msaidizi wake Mkuu bila ya kutoa sababu za hatua hiyo baada ya hotuba ya kuonya kuhusu njama ya "mapinduzi" dhidi ya Serikali yake hivi karibuni

Katika kikao cha dharura, Wabunge waliidhinisha Uteuzi wa Waziri wa Usalama, Gervais Ndirakobuca kuchukua nafasi ya Bunyoni kwa kura 113 kwa 0

.................................

Burundi's President Evariste Ndayishimiye sacked his prime minister and a top aide in a high-level purge Wednesday after warning of a "coup" plot against him.

The former army general replaced Alain Guillaume Bunyoni and civilian chief of staff General Gabriel Nizigama on a day of high drama in the troubled central African country. At a hastily called parliamentary session, lawmakers approved the appointment of security minister Gervais Ndirakobuca to replace Bunyoni in a unanimous 113-0 vote, the national broadcaster RTNB said.

Ndayishimiye, who has been in power for just over two years, gave no reasons for Bunyoni's dismissal, but last week warned of a coup plot. "Do you think an army general can be threatened by saying they will make a coup? Who is that person? Whoever it is should come and, in the name of God, I will defeat him," Ndayishimiye had warned at a meeting of government officials on Friday in the political capital Gitega.

The fate of Bunyoni, a former police chief and security minister who has long been a senior figure in the ruling CNDD-FDD party, was not immediately known. Ndayishimiye's new chief of staff -- a post sometimes described as a "super prime minister" -- is Colonel Aloys Sindayihebura, who was in charge of domestic intelligence within the National Intelligence Service.

Lawmakers had been called to attend the National Assembly session on Wednesday via urgent messages sent overnight on WhatsApp.

Source: Citizen Digital
 
BURUNDI,RWANDA NA UGANDA vioo vya magufuri.
 
hivi sinwachukue hako ka Nchi watuzawadie uwe Mkoa mmoja wapo wa Tanzania ?

maana hawa watu ni kama wana laana hiv
 
hotuba ya kuonya kuhusu njama ya "mapinduzi" dhidi ya Serikali yake hivi karibuni

Afrika ukiongea au kuahidi haki za binadamu lazima uonekane wewe siyo mwenzetu. Ni bosi wako tu ndiye anatakiwa kuongea mambo hayo mazito hata kama hatayatekeleza. Waziri mkuu aliyeondolewa inaonekana hakujua siasa za Afrika hususan Burundi.

TOKA MAKTABA :

Tarehe 23 February 2022
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya #Burundi Alain Guillaume BUNYONI akabidhiwa ripoti ya tume huru ya haki za kibinaadmu #CNIDH.

Source : Mashariki TV

Waziri mkuu wa Burundi aliyefutwa kazi CGP Alain-Guillaume Bunyoni

1662619844350.png
1662619917025.png

Year 2015
The E.O. also imposes visa restrictions on individuals identified or designated under the E.O
READ more : FACT SHEET: Burundi Executive Order
 
23 February 2022

Ripoti ya kazi ya mwaka wa 2021 kuhusu mauwaji yaliyopitika mwaka 1972, waziri mkuu aelezea mazito serikali ilivyoshiriki

Waziri Mkuu Alain Guillaume BUNYONI awapokea kwa mazungumzo wajumbe wa tume ya Ukweli na Maridhiano #CVR. Walimkabidhi ripoti ya kazi ya mwaka wa 2021 kuhusu mauwaji ya 1972 ambapo ilibainika kuwa palitokea mauaji ya Kimbari dhidi ya wahutu.

Waziri Mkuu amepongeza kwa tume ya maridhiano ilivyofanya kazi hiyo ngumu kuwabaini waliiohusika na mauwaji ya mwaka 1972.

Mauwaji hayo yalilenga kabila la Wahutu na ripoti imebaini serikali ilishiriki kufadhili, kupanga na kutekeleza genocide lililowalenga Wahutu nwaka 1972.

Sasa mwaka 2022 baada ya serikali ya Burundi ya kupitia ripoti hiyo imepanga inatoa wote kwa wahusika kuelewa kazi hiyo nzito kuwabaini waliohusika na janga la mauwaji ya 1972.

Serikali sasa inajipanga wahusika wote washughulikiwe kwa mujibu wa sheria anahitimisha waziri mkuu Alain Guillaume BUNYONI.

Source : mashariki tv
 
Was it a power struggle between the president and prime minister or a purge?

Source : SABC News
 
19 September 2022
Gitega, Burundi

Maafisa wa usalama wa Rutana wanasema wanathamini mpango ulioidhinishwa na mkuu wa nchi ambao unaanza kutekelezwa
 
Back
Top Bottom