MBOKA NA NGAI
JF-Expert Member
- Jan 31, 2025
- 350
- 576
Burundi pia ina watusi na wahutuWatutsi wakae chini wajitathimini , siku maji yakizidi unga watakosa pa kushika ,hata nchi nyingine hazitawachukua kama wakimbizi naona wamechachamaa lakini
Naelewa hilo lakini na wewe jaribu kuelewa andiko langu inahitaji tena nikueleweshe mkuu?Burundi pia ina watusi na wahutu
Yatazidije unga mkuu!Watutsi wakae chini wajitathimini , siku maji yakizidi unga watakosa pa kushika ,hata nchi nyingine hazitawachukua kama wakimbizi naona wamechachamaa lakini
Hebu fafanua umewajuaje mkuu?Watutsi wakae chini wajitathimini , siku maji yakizidi unga watakosa pa kushika ,hata nchi nyingine hazitawachukua kama wakimbizi naona wamechachamaa lakini
Acha tuoneTayari imepatikana hoja nzito kuingia Burundi kutwaa viwanja vyote vya ndege ili kuikaba FARDC jeshi la serikali la DR Congo isiweze kuitumia Burundi kuwa kichaka cha logistic ( yaani kutumika kama kitovu cha ugavi wa chakula, silaha, zana, askari wa serikali ya Congo, na kuzuia kasi ya M23 kwenda Kinshasa
Hoja mtambuka hapo ni: Wataendelea kusakana na kukamatana na kuuana hadi wapi?? Jamii hizo mbili hasimu zimeenea hadi Tanzania na kwingineko. Je; watauana mpaka wafike wapi na lini itakuwa ndo mwisho?Naelewa hilo lakini na wewe jaribu kuelewa andiko langu inahitaji tena nikueleweshe mkuu?
Hiyo ni red line mkuuTayari imepatikana hoja nzito kuingia Burundi kutwaa viwanja vyote vya ndege ili kuikaba FARDC jeshi la serikali la DR Congo isiweze kuitumia Burundi kuwa kichaka cha logistic ( yaani kutumika kama kitovu cha ugavi wa chakula, silaha, zana, askari wa serikali ya Congo, na kuzuia kasi ya M23 kwenda Kinshasa
Kwenu wapi!Hawana lolote nao hao Burundi..Badala wapambane na umasikini uliotawala kwenye kanchi kao wanaingilia watu wasiowamudu.
Ofisi ya Raisi tu ya kwao ni kama Ofisi ya mkuu wa shule hapa kwetu.
Mmh naona kunawaka motot east africa
View: https://x.com/bless_link/status/1890707010196586948
Pichani, ni video. Inasemekana watu hao wanapelekwa uwanjani chini ya ulizni wa vyombo vya dola.
Msako mkali mjini Bujumbura, unaendelea. Wanaokamatwa, ni wale wenye lafudhi za Kinyamlenge na kinyarwanda, wanaohisiwa kuwa watutsi.
Kama ikitokea taarifa hizo zikadhibitishwa kikamirifu, Basi Burundi na kwenyewe kutakuwa na jambo.