MBOKA NA NGAI
JF-Expert Member
- Jan 31, 2025
- 350
- 576
View: https://x.com/bless_link/status/1890707010196586948
Pichani, ni video. Inasemekana watu hao wanapelekwa uwanjani chini ya ulizni wa vyombo vya dola.
Msako mkali mjini Bujumbura, unaendelea. Wanaokamatwa, ni wale wenye lafudhi za Kinyamlenge na kinyarwanda, wanaohisiwa kuwa watutsi.
Kama ikitokea taarifa hizo zikadhibitishwa kikamirifu, Basi Burundi na kwenyewe kutakuwa na jambo.