Tetesi: Burundi, wanaosadikika kuwa wanyarwanda na wa Congo wenye asiri ya kinyarwanda, wakusanywa uwanjani

Tetesi: Burundi, wanaosadikika kuwa wanyarwanda na wa Congo wenye asiri ya kinyarwanda, wakusanywa uwanjani

Huu mzozo bado mbichi sana,kuna Rais ataondoka nao kati ya nchi hizi tatu
 
Hajui wahutu ni 85% ya raia wote wa Burundi huku watutsi wakiwa 14% ya raia wote wa Burundi. Na si Burundi tu hata rwanda ni hivyo hivyo. Siku mambo yakiharibika watutsi watapata tabu sana ndani ya hizo nchi.

Tanzania inatakiwa kufunga mipaka kama ni msaada wa ukimbizi wasaidiwe huko huko kwenye nchi zao maana wanapewa hifadhi halafu wanawatelea wenyeji shida.
Very true. Mimi pia nimeishi nchi zote mbili,Rwanda soon atasahaulika japo wengi humu watabisha. Kagame ametafutwa Kwa muda mrefu sana na Museveni japo mbele ya kamera ni marafiki ila Kwa sasa kajaa kwenye mfumo.Hatufiki mwezi wa nne kabla Mambo hayajaharibika Kigali.
 
Kwa hiyo wale medemu wa kinyarwanda watakimbilia bongo?
 
Mambo ya ukabila ni ujinga ,soon wataanza kupigana tena .
 
Kwani hakuna watutsi ambao ni raia wa Burundi je hao wanarudishwa kwao wapi?
Hii kitu bado ni mkanganyiko sana na hakuna mwenye jawabu litakalopelekea upatikanaji wa suluhu kama mwendo ndo huo wa kukusanya kabila moja. Ngoja tuone huko uwanjani wanaenda kufanywa nini. Tumwombe sana Mungu wasijekufanya kama kwenye ile vid.clip ya kutisha na kuhuzunisha.
 
Hahahahahaha kivipi mkuu!!!
Kwanza madam yao mengi utekelezaji wake ni mgumu,nyuma ya m23 kuna agenda nyingi tu ambazo hakuna mtu yupo tayari kuzitaja hadharani .hivyo hizi kete Kadri zinavyochangwa mm napata mashaka sana zinaweza ondoka na mtu
 
Hata mimi nahisi hivyo. Japo mi nahisi watu wawili
 
Hujajibu swali. Kama una jawabu fafanua zaidi. Burundi tunaifahamu na Rwanda tunaifahamu.
Unazifahamu kivingine mkuu. Hiyo RED-TABARA, ni kundi la watutsi,waliotaka kupindua serikali mwaka 2015. Leo hii, wapo huko inakoelekea M23,Kivu kusini.
Lengo lao, ni wao pia warudi kwao. Wakiwemo wakimbizi waliopo Tanzania na Rwanda.

Kwa ulilouliza, watutsi wa Burundi, ni tofauti na wa Rwanda na DRC. Tofauti ni rafudhi. Kingine, usidhani wanasimamisha mtu barabarani, list zipo za wakazi wasio wazawa na walikotoka.
 
Hajui wahutu ni 85% ya raia wote wa Burundi huku watutsi wakiwa 14% ya raia wote wa Burundi. Na si Burundi tu hata rwanda ni hivyo hivyo. Siku mambo yakiharibika watutsi watapata tabu sana ndani ya hizo nchi.

Tanzania inatakiwa kufunga mipaka kama ni msaada wa ukimbizi wasaidiwe huko huko kwenye nchi zao maana wanapewa hifadhi halafu wanawatelea wenyeji shida.
Mkuu Tanzania inaweza wapokea wakimbizi kisheria, kufunga mipaka ni kukiuka mkataba waliosaini wa Refugees Convention na sio kazi ya Tanzania kusaidia wakimbizi nchini mwao labda kama hujui maana ya mtu kukimbia nchi
 
Na wataachiwa kweli.
Raisi wa Burundi alietangaza kuwa Rwanda ina mpango wa kuvamia Burundi, na kwamba yupo tayari, baada ya kuona kinachoendelea huko alikohamishia jeshi lake, ametangaza kwamba ameisha ongea na Rwanda na huo mpango haupo tena!!!😀😀😀😀
😆
 
Yaani kwa ilikofika ikiwa kuna raisi atakayeliwa kichwa kwenye huu mgogoro ujue hali haitakuwa shwari.
Itakuwa zama za akina Ndadaye.
Yaani hizi jamii za wahutu na watutsi wameshaumizana kitambo tangu enzi za akina Michombero(1960s),na kibaya zaid jamii zote hizo zina asili ya visasi visivyoisha.
Wakati hawa wanasema mlituua makumi aelfu wengine wanasema mlituua mamia elfu na viongoz wetu.

Mgogoro unaweza kuisha ikiwa jamii zote mbili zitaamua kuishia hapo hapo zilipofikishana, mbali na hapo wataendelea kuisuprise dunia iliyostaarabika kwa tabia za enzi za machief.

Hapa bongo Genius Mwl Nyerere alipoamua kuyafanya makabila flan flan kuwa watani hakuwa mjinga.
 
Kagame na watu wake wanatafutwa kila kona.....jamaa is a parasite kwa kweli na sasa kafikia ukingoni, inabidi atafutwe tu akamatwe na kunyongwa Afrika itulie.
 
Yaani kwa ilikofika ikiwa kuna raisi atakayeliwa kichwa kwenye huu mgogoro ujue hali haitakuwa shwari.
Itakuwa zama za akina Ndadaye.
Yaani hizi jamii za wahutu na watutsi wameshaumizana kitambo tangu enzi za akina Michombero(1960s),na kibaya zaid jamii zote hizo zina asili ya visasi visivyoisha.
Wakati hawa wanasema mlituua makumi aelfu wengine wanasema mlituua mamia elfu na viongoz wetu.

Mgogoro unaweza kuisha ikiwa jamii zote mbili zitaamua kuishia hapo hapo zilipofikishana, mbali na hapo wataendelea kuisuprise dunia iliyostaarabika kwa tabia za enzi za machief.

Hapa bongo Genius Mwl Nyerere alipoamua kuyafanya makabila flan flan kuwa watani hakuwa mjinga.
wahutu ni wabantu kama ww , hakua kabila linaitwa wahutu bali wale wabantu waliitwa wahutu , ila wale wageni wakijiita watutsi. , wakorofi ni hao watutsi na wao ndo wauaji wakubwa , si unaona Burundi imekuwa inaish nao vzr ila kinachoendelea DRC bas lzm Burundi ichukue hatua maana nmeona video kadhaa za mitandaoni huko DRC wanaorekodi ni watutsi wanaoishi DRC hata leo nmeona video ya majeshi ya Burundi yakirudi nyumbani ila ile video pia amerekodi mtutsi kama sehem ya propaganda kuwa jeshi la Burundj limeferi huko DRC , sisi Tz tuchukue hatua kama hzo pia
 
Back
Top Bottom