Sultan MackJoe Khalifa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2022
- 7,696
- 15,984
Akuna namna PK ataacha kuipiga Burundi kama sio leo basi ni kesho.
Jenerali kafanyia mafunzo wapiRais wa Burundi Evariste Ndayishimiye ni jenerali. Inasikitisha habari yote hakuna mahali imetaja cheo chake hiko ukizingatia context ya habari yenyewe.
Waandishi wa siku hizi bure kabisa.
Burundi unaichukulia poa!Akuna namna PK ataacha kuipiga Burundi kama sio leo basi ni kesho.
Ila Burundi wawe makini, Kagame sio mchezo, yupo vizuri kivita.Ujinga wa kagame utamtokea puan siku moja
Unaowaambia ni wasomi wenye digri ila sasa wanashauri warudi veta hawawezi kukuelewa acha watusi watawale huu ukanda wabantu wote muitwe wahutu mnyooshwe na hivi mnapenda mabinti zao😏Taaratibu, unabii wa askofu Christopher Mtikila (RIP ) unataka kutimia. Watutsi wanataka kuanzishwa kwa Bahima empire, wanataka ardhi. Naweza kuhisi hivi, "Kagame anatamani Burundi impate rais Mtutsi na sio Mhutu kama huyu" akifanikiwa kwenye hilo then PK atakua anaziongoza both Congo and Burundi by remote, madini ya Congo yaki finance mipango yake. Tupo tunamwangalia tu PK, PK ni jipu, tuendelee tu kumchekea, siku 1 tutajuta, will be too late
Uzuri wake uko wapi na umejuaje wakati yule kibarakz westen na atakufa kifo cha Savimbi soon au wewe huoni hata kesho?Ila Burundi wawe makini, Kagame sio mchezo, yupo vizuri kivita.
Ameaambiwa kama anafahamu njia ya karibu ya kuelekea Bujumbura hata wao wanaifahamu njia ya karibu ya kuelekea Kigali.Akuna namna PK ataacha kuipiga Burundi kama sio leo basi ni kesho.
Kivipi??Evariste ni smart sana
PK hatostaafu Urais mpaka ahakikishe keshatwangana na Burundi.Ameaambiwa kama anafahamu njia ya karibu ya kuelekea Bujumbura hata wao wanaifahamu njia ya karibu ya kuelekea Kigali.
Burundi ni marafiki zetu na hawajawahi kutuangusha.PK hatostaafu Urais mpaka ahakikishe keshatwangana na Burundi.
Wakumnusuru Burundi ni baba yake Tanzania tofauti na hapo Burundi watakandwa mpaka wanye.
Marafiki zako na nani? Unaishi zamani urafiki ulishazikwa kitamboBurundi ni marafiki zetu na hawajawahi kutuangusha.
Ikitakiwa kuwasaidia, tutawasaidia kwa faida yetu.
Ma generali wa kweli huwa wako hivyo. Achana na hawa ma general uchwaraIla Mh. Rais wa Burundi Gen. Evariste Ndayishimiye, anaonekana mstaarabu kulinganisha na mwenzake wa upande wa pili.
Alipojaribu akafeli hata kwenye mahafali hakuhudhuria na sasa amekua muoga kupita kiasi amenyanyua mikono.Taaratibu, unabii wa askofu Christopher Mtikila (RIP ) unataka kutimia. Watutsi wanataka kuanzishwa kwa Bahima empire, wanataka ardhi. Naweza kuhisi hivi, "Kagame anatamani Burundi impate rais Mtutsi na sio Mhutu kama huyu" akifanikiwa kwenye hilo then PK atakua anaziongoza both Congo and Burundi by remote, madini ya Congo yaki finance mipango yake. Tupo tunamwangalia tu PK, PK ni jipu, tuendelee tu kumchekea, siku 1 tutajuta, will be too late
Na wewe kama ni Mtanzania.Marafiki zako na nani? Unaishi zamani urafiki ulishazikwa kitambo
Ni kweli amefeli mara kadhaa, JK mwishoni mwa utawala wake, alimshikisha adabu sana tu hadi akawa hana hamu nae BUT I think Mr. Slim hakatagi tamaa akiwa na jambo lake, again I think Watutsi wana vikao vyao vya siri ambavyo wana mambo wamerithishana miaka kadhaa nyuma. Kama kuna mtu kawahi ku date na mabinti wa Kinyarwanda atajua jambo lifuatalo; say mko nae Mbeya au may be Zanzibar (sijaiweka Dar kwasababu Dar ina mwingiliano mkubwa wa makabila yote East and Central Africa ) then akakutana na either mwanaume au mwanamke mwenzie wa Kinyarwanda, huaga wana signal zao wanapeana, Watutsi wazaliwa wa Tanzania au hata nje ya Rwanda, Burundi or Uganda, signal yao ni moja; now the question is, wanafundishanaga wapi kama sio jambo la kurithishana vizazi na vizazi? PK anaweza kujua kwamba hiyo mission yake inaweza isifanikiwe katika utawala wake, but he will never leave the regime to another tribe in that country, next president MUST be a Tutsi cause they know their plan, as for him, he has a job to accomplish and that's what he is doing. Kua nae makini. Anacho kifanya sasa hivi ni kutafuta pesa ili awe imara financially, anafanikiwa sana kupitia madini ya Congo, sisi tunamchekea tu. Si ndio huyu alimuwezesha Kabila Sn ili amtoe Mabutu Seseko madarakani? Lazima kuna vitu walikubaliana, Kabila hakutekeleza, finally he was killed. RIP Christopher MtikilaAlipojaribu akafeli hata kwenye mahafali hakuhudhuria na sasa amekua muoga kupita kiasi amenyanyua mikono.