Burundi kurudisha wanajeshi wake waliosalimika

Burundi kurudisha wanajeshi wake waliosalimika

MBOKA NA NGAI

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2025
Posts
350
Reaction score
576
Baada ya makundi mengine kutangaza kujiunga, kuongeza nguvu ili rais wa Burundi aondolewe madarakani;
Huku pia waasi wake RED TABARA wakiwa tu umbali wa kilometa 76 kutoka walipo sasa M23,
Rais ameagiza wanajeshi wake hao warudi nchini. Wanaorudi, wanafikia katika bonde la RUSIZI, kwa maandalizi ya kuikabili RED TABARA ikiamuwa kukiwasha.

Kutoka Uvira kwenda Bujumbura, umbali ni chini ya km 35.
 
Big up Raisi Ndayishimiye, Dug in hapo bondeni Rusizi mahandaki mazito layer after layer ya mahandaki zika na mines na anti tank mines fanya kama mpaka wa Korea kusini na kaskazini.

Lakini usiwaonee hao wakimbizi masikini unaowaweka bila chakula wala maji ya kunywa.
 
Big up Raisi Ndiyashimiwe, Dug in hapo bondeni Rusizi mahandaki mazito layer after layer ya mahandaki pana na mines na anti tank mines fanya kama mpaka wa Korea kusini na kaskazini.

Lakini usiwaonee hao wakimbizi masikini unaowaweka bila chakula wala maji ya kunywa.
Kwanini wameludi Rusizi, Kwanini wasinge zuia kutokea uvira ?
 
M23 wananifurahisha sana.nawatakia ushindi mwema na wakimaliza wake na Tanzania kuwashughulikia Hawa ccm
Hatuhitaji ukombozi kutoka kwa M23, matatizo yao yabaki huko huko Kongo walikoamua kutumia mtutu kudai haki zao,sisi hapa tutatumia maandamano na mbinu nyingine za kidemokrasia.

Kupigana Vita ni ujinga.
 
DRC iko vitani; Rwanda vitani, Uganda vitani, Burundi vitani! Maziwa makuu pamechafukwa sio siri tena. Nchi inatakiwa kuwa macho kweli kweli hamkani sio shwari.

Haya ngoja tuone jumiya yetu pendwa EAC itachukua hatua gani dhidi ya mtifuano huu. Otherwise, it is irrelevant.
 
Sasa hivi ndo imekuwa full blown east African conflict, ambaye hayumo ni Kenya na hao wagonjwa wawili South Sudan na Somalia 😆😆
 
Back
Top Bottom