Bus zuri la kwenda moshi

USB ipo kwa LIM .

sijawahi bahatisha magari yenye sehemu za kuchomeka chaja moja kwa moja zaid ya coast line ya tabora. Mengi ni usb

Ili mradi ni charge simu yangu tu maana inatiririka charge si kitoto nikiwasha data
 
Mbona umekazia sana swala la chager meku?kama unataka kusafiri kwa raha zako hizo na nyinginezo tafuta gari inaitwa extra luxuries hutajutia 35,000 yako mkuu
 
Mbona umekazia sana swala la chager meku?kama unataka kusafiri kwa raha zako hizo na nyinginezo tafuta gari inaitwa extra luxuries hutajutia 35,000 yako mkuu

Yes nimekazania kiukweli kwa kuwa nitakuwa na uhuru wa kuitumia simu yangu bila kuwazia kuisha kwa charge
 
Dar Lux ya Nairobi, ina charging system kwenye seat, Full AC, Free W-Fi.
Nauli 32,000 mpaka Arusha.
 


Umesahau Ungo express: Hili nusu saa tu toka Dar mpaka Moshi na dakika moja tu kwenda Upareni kwa kina mshana jr toka Moshi mjni.
 
Wewe mchokozi aise.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jr ni mtani wako nini??eheee nauli yake bei gani??


mshana jr ni mtani wangu wa humu JF na ninampenda sana. Ungo Express uwa unalipia kwa viganja tu vya binadamu na maelewano ila yabidi kuwa na roho ngumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…