Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
LIM utaenjoy utachaji vizuriIli mradi ni charge simu yangu tu maana inatiririka charge si kitoto nikiwasha data
LoriBasi zuri hap n kilimanjaro tu peke yakee... Ambpoo hataa beii zaoo n afordable price..
Mbona umekazia sana swala la chager meku?kama unataka kusafiri kwa raha zako hizo na nyinginezo tafuta gari inaitwa extra luxuries hutajutia 35,000 yako mkuu
Ok....jiraniAsante love
Unakula bure?Panda KILIMANJARO EXPRESS choo ndan
Full a.c
Usb port.
Refreshments.....na unapata muda wa kula hotelini kwao nusu saa.
Panda KILIMANJARO EXPRESS A.K.A WASAFI
Kweli vizuri unavijua,Nalipendaga sana ili basiKIDIA ONE,
bila shaka ushapata mwongozo sasaYes nimekazania kiukweli kwa kuwa nitakuwa na uhuru wa kuitumia simu yangu bila kuwazia kuisha kwa charge
Dar Lux ya Nairobi, ina charging system kwenye seat, Full AC, Free W-Fi.Habari wana Jf.polen kwa ujenzi wa taifa hili ambalo inasemekana wananchi wake hawana furaha kwa kwa zaidi ya 90%.ila mimi ninafuraha sana tu kwa kuwa ni mzima wa afya siumwi.
Ngoja niende kwenye mada moja kwa moja.wapendwa naomba mnijuze basi zuri ambalo linacharge system naweza charge cm nikiwa nimekaa kwa seat yangu.asanten
Daby (jirani)
Husna
Shunie
Jovitha
Mondray
Karibuniii
Habari wana Jf.polen kwa ujenzi wa taifa hili ambalo inasemekana wananchi wake hawana furaha kwa kwa zaidi ya 90%.ila mimi ninafuraha sana tu kwa kuwa ni mzima wa afya siumwi.
Ngoja niende kwenye mada moja kwa moja.wapendwa naomba mnijuze basi zuri ambalo linacharge system naweza charge cm nikiwa nimekaa kwa seat yangu.asanten
Daby (jirani)
Husna
Shunie
Jovitha
Mondray
Karibuniii
Umesahau Ungo express: Hili nusu saa tu toka Dar mpaka Moshi na dakika moja tu kwenda Upareni kwa kina mshana jr toka Moshi mjni.
View attachment 488566
Wewe mchokozi aise.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jr ni mtani wako nini??eheee nauli yake bei gani??