edwayne
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 8,919
- 9,797
Hakuna Hiko kituPanda KILIMANJARO EXPRESS choo ndan
Full a.c
Usb port.
Refreshments.....na unapata muda wa kula hotelini kwao nusu saa.
Panda KILIMANJARO EXPRESS A.K.A WASAFI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna Hiko kituPanda KILIMANJARO EXPRESS choo ndan
Full a.c
Usb port.
Refreshments.....na unapata muda wa kula hotelini kwao nusu saa.
Panda KILIMANJARO EXPRESS A.K.A WASAFI
....ati???Mimi ni mwanamke mkuu
Duuh mama magar yangu ya magazetiNakusubiri twende wote aise!!
....ati???
.yani mwanamke una ids mbayaaaaaaaa;
.mara Chakorii,sijui Banaange!
.halafu avi umeweka mpua umeoverlap,
dadeki!
Ushashuka tena kwenye mabasi mazur unataka magar ya magazeti roho yako itangulize na bas then uje upandeMie huwa napandaga fuso za mizigo kama vipi nishuke tupande wote za magazet
Ha ha ha ha Karibu sana safar zetu zinanzia mwenge au pale mwananchi saa moja jion uje tuNishamwachia dere atangulie nayo.
Mi nakufuata bhana siwezi vumilia tukapishana magari
Ha ha ha ha Karibu sana safar zetu zinanzia mwenge au pale mwananchi saa moja jion uje tu
Mama hvyo uavyotaka kuja navyo na safar ya usiku habar ya kuchimba dawa unatafuta lawamaAsante ngoja nijitahidi kuwahi maana...si unajua huu mkorokocho wetu huku huwa unabumagaeee ehee.
Naruhusiwa kubeba magimbi,makukuru,mayai ya kuchemsha,mahindi mabichi,viazi mbatata....??
Ha ha ha ha ha unatafuta balaa kwa kwel na mayai tena panda tu haya mabasi yenu tu ili ukizidiwa upate pa kuchimba dawaBasi nachukua maboga na mayai ya kuchemsha maana ninauhakika utaniomba tu usiku mnene
Yah kitu cha higherLa kutokea wapi?
Kama Dar au morogoro kuna lakrome au lim safaris
Kwangu LIM is the best. Yapo vizuri na wanajali muda.
Ha ha ha ha hv lazma ule enhee njian magar ya magazet masaa manne tu ushafika moshiAhaaa naona unanibania sana ngoja niviache tu wahii..
Nitakula nyama ya mbuzi pale tanga