Bus zuri la kwenda moshi

Bus zuri la kwenda moshi

....ati???
.yani mwanamke una ids mbayaaaaaaaa;
.mara Chakorii,sijui Banaange!
.halafu avi umeweka mpua umeoverlap,
dadeki!

Samahn mkuu,id yangu ikiwa mbaya/nzur wew una% ngapi ya faida!!

Niweke pua,nywele,macho,au chochote kile sidhani kama kuna kinachokuhusu wewe.

Vinavyowahusu watacomment na kulike wew hata ukipita bila kutema mate huna faida,pita tu

Kwa bahat mbaya sijazoea majibizano ya kutafuta kiki
 
Mie huwa napandaga fuso za mizigo kama vipi nishuke tupande wote za magazet
Ushashuka tena kwenye mabasi mazur unataka magar ya magazeti roho yako itangulize na bas then uje upande
 
Ushashuka tena kwenye mabasi mazur unataka magar ya magazeti roho yako itangulize na bas then uje upande

Nishamwachia dere atangulie nayo.
Mi nakufuata bhana siwezi vumilia tukapishana magari
 
Ha ha ha ha Karibu sana safar zetu zinanzia mwenge au pale mwananchi saa moja jion uje tu

Asante ngoja nijitahidi kuwahi maana...si unajua huu mkorokocho wetu huku huwa unabumagaeee ehee.

Naruhusiwa kubeba magimbi,makukuru,mayai ya kuchemsha,mahindi mabichi,viazi mbatata....??
 
Asante ngoja nijitahidi kuwahi maana...si unajua huu mkorokocho wetu huku huwa unabumagaeee ehee.

Naruhusiwa kubeba magimbi,makukuru,mayai ya kuchemsha,mahindi mabichi,viazi mbatata....??
Mama hvyo uavyotaka kuja navyo na safar ya usiku habar ya kuchimba dawa unatafuta lawama
 
Ha ha ha ha ha unatafuta balaa kwa kwel na mayai tena panda tu haya mabasi yenu tu ili ukizidiwa upate pa kuchimba dawa

Ahaaa naona unanibania sana ngoja niviache tu wahii..
Nitakula nyama ya mbuzi pale tanga
 
Back
Top Bottom