Busara kidogo inahitajika katika hili

Aisee pole sanaa.. Daah maza alizingua sana!!
Nilisemaga ikitokea nimeachwa bora nisiolewe mpk kifo ila sio kuwaacha wanangu kwa mwanaume kama anawapenda atawahudumia popote nilipo!
Na sitaona aibu kusema Nina watoto !!
Wamama wengine wana maamuzi ya ajabu sana mpk washangaa

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Aseehhh!!!nimeumia sana!!!Mungu akupiganie my broohh!naimani utakua baba mzuri!

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Nilimaanisha vp kamaq jamaa alijitokeza akataka kutoa support ila bimdashi akagoma kwakua tayar yuko kwenye ndoa mpya na hataki ku compromise the family??
Sio rahisi mwanamke kukataa matunzo ya mtoto wake!wanaume wengi wazinguaji broo!hawanaga sababu za msingi za kutelekeza watoto wanakuwaga selfish mnoo!!wanakataa watoto kimasihara mnooo baadae wanajuta!

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
this is too much exaggeration mkuu
Hakuna exaggeration hapo ndo ukweli huoo!!!bitter truth..hakuna sababu ya kukataa mtoto wako!hudumia tu hata kumfungulia akaunti kwa siri unamuwekea pesa!
Ukweli ni kua amerudi kwa kua amefanikiwa kulelewa vzr ,carleen amekuba binti mzuri ,hana mtoto wa kike!
Lau kama angekua teja, direction less asingethubutu kumfuata nafsi inamsuta mnooo!!!

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Nakubaliana na wewe Ila iko hivi..ngoja nikupe mfano mmoja halisi tu.kuna dada mmoja Nina abudu pamoja nae kanisani.Huyu yy akiwa chuo alipata mimba na hawakuweza fanya maisha pamoja.Hyu dada akaja olewa na mtu mwingine ambapo kwenye familia hii mpya amezaa watoto wa3 mpaka sasa.Baba wa mtoto wake yaan mzaz mwenza yule aliyemkataa akajaga akajitokeza akataka kuanza kutoa matunzo kwa mtoto.Huyu sister kwa kujali ndoa yake na kwakua Alisha surrender malezi ya mtoto kwa mumewe guy wa ndoa,akamgomea kata kata baba mzaz wa mwanaye kwamba hahitaji chochote toka kwake Wala suala la matunzo.Family yake Ina mudu yote asubir mtoto akikua atamtafuta.

Ili asi compromise ndoa yake, akampata taarifa mumewe kuwa mzazi mwenza kamtafuta kuhusu ishu za mtoto na akampa feedback ya kilichotokea.
Baba mlezi akawa mwelewa tu akasema mwache amtunze mtoto wake na Kama ni matumizi acha atume hivyo tu.

Huyu sister akatumia akili akamwambia mzaz mwenza ambaye ni baba wa mtoto kwamba "Sitaki mahusiano Wala mawasiliano na wewe,kwa habari ya chochote kinachomuhusu mtoto mtafute baba yake (mlezi) ndio uwe unamtafuta na muwasiliane nyie ..Taarifa yotote toka kwako nitaipata kwa mume wangu(baba mlezi)."

Sasa huoni Kama huyu mama aligomea kabisa matunzo Kama so hekima ya baba mlezi kutumika? Na hataki mawasiliano na mzaz mwenzake mpaka leo..so Kama ni kumwona mtoto, jamaa anampigia cm mwanaume mwenzie then mama mtoto ndio anapewa taarifa.
 
Kwan faida ya huo utoto wa like ni Nini mkuu na mtu tayar ana watoto na uwezo tu wa maisha yake...Kama kaishi miaka yote hiyo bila huyo mtoto wa kike then Kuna kipya gaaan ambacho kinaweza make the difference now...?
 
Huyo aligomewa...hapa tunazungumzia wanaume wanaokataa watoto hizi ni cases mbili tofauti
 
Hivi mnaposema mwanamke kakutegea mimba hii inakaaje? kwamba unakua hujui kukutana bila kinga inaweza sababisha mimba au huwa mna maana gani?
Mwenye lakujua siku za hatari ni nani kati ya me na ke
 
Ukisikiliza alichosema Carleen dingi ndo alifeli mwenyewe!

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Kuna wanawake wengine siku zao hazina mpangilio...tumieni mipira
Ni kweli hilo lipo sema tatizo pia wanapenda kutumia hisia badala ya akili, risk uncalculated afu yakiwafika wanaplay victim.
Kulea tunalea ila kutuma muamala kwa mtu kawekwa ndani na jamaa mwingine inaleta ukakasi mlijue hilo kama vipi leta mtoto nimlee mwenyewe
 
 
thank you Vinci,
Ila haupo sahihi kufikiri unachofikiri, what I feel for that man is unexplainable, na nina haki ya kumuita vyovyote ambavyo sitendi dhambi..!

thank you once again, ushauri wako ni mzuri sana na nitaufanyia kazi pia..!
Ungekua na Kaka yako, yeye angewaza tofauti kabisa na wwe kuhusu Baba yake Mzazi! Wwe uko to emotional!!
 
I used to see this shit in movies! 🤣
Hope umeshasolve what you went through!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…