BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,767
- 23,198
Tell him the truth
Aavhe kulalamika, badala ya kukuweka karibu anakupoteza
Pia kuibuka na kuja kujitambulisha kwako haina maana mtabond na kuclick.....
alishamiss miaka kadhaa nyuma...
alishamiss kipindi muhimu cha kubond...
kiufupi alishaipoteza haki yake ya ubaba kwa baba yako mlezi!!!
Awe mpole na achukulie taratibu
Unahitaji muda wa kumzoea na unahitaji muda wa kuwazoea pia hata hao ndugu wengine....na sio kuforce ..... hiyo lazima anayoilazimishia sasa hivi angeitumia wakati mdogo na si kukutelekeza/ kuikataa mimba
Na ashukuru mama yako aliamua kumuacha maishani mwako
Na hii iendw ikawe funzo kwa wakataa mimba wote!!!