Busara kidogo inahitajika katika hili

Busara kidogo inahitajika katika hili

Tell him the truth

Aavhe kulalamika, badala ya kukuweka karibu anakupoteza

Pia kuibuka na kuja kujitambulisha kwako haina maana mtabond na kuclick.....

alishamiss miaka kadhaa nyuma...

alishamiss kipindi muhimu cha kubond...

kiufupi alishaipoteza haki yake ya ubaba kwa baba yako mlezi!!!

Awe mpole na achukulie taratibu

Unahitaji muda wa kumzoea na unahitaji muda wa kuwazoea pia hata hao ndugu wengine....na sio kuforce ..... hiyo lazima anayoilazimishia sasa hivi angeitumia wakati mdogo na si kukutelekeza/ kuikataa mimba

Na ashukuru mama yako aliamua kumuacha maishani mwako

Na hii iendw ikawe funzo kwa wakataa mimba wote!!!
 
Alimtelekeza kipindi ambacho anamhitaji tena ,kipindi ambacho kuzaa out of wedlock ilikua ni dhambi sana,baba wa watu akakubali kumfichia aibu mama wa watu na good enough anamlea kwa upendo 100%
Leo kwa kua hana binti ktk uzao mwingine ndo amerudi...hana mapenzi na Carleen isipokua anataka tu binti amuoze atoe mkono siku ya harusi thats all!!

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
this is too much exaggeration mkuu
 
Ukitaka kuharibu maiaha Yako na baraka zako , utakapompuuza baba Yako mlezi na mama , haujui kwa nn baba mzazi anakutafuta inawezekana anamambo yake anahitaji kupitia ww ndio afanikishe katika ulimwengu wa roho kuwa makini sana .......bahati huwa ni mara moja majuto hujirudia mara kwa mara

sent from HUAWEI
 
Mambo ya Roho yanakuja leo ashakua mkubwa??[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wakati akiwa mtoto anakua anahitaji malezi na mahitaji mambo ya roho hayakuwepo[emoji38]

Dada huyo baba yako jua tu yupo hai na umeshamsamehee ila kamwe usitake kujionyesha sijui unamfeel sijui mara upendo dont Fake at all achana naee kama hakutaka kuwepo kwenye maisha yako kipindi chote hicho why now???? Kuwa baba sio kukojoa na kuondokaa kuwa baba ni kumlea mtoto na kubeba majukumu...
 
Okeee. Iko hivi, mama mzazi alijua ipo siku utahitaji kujua asili ya baba yako na hakutaka kukuuza kwenye ukoo mwingine na ndio maana licha ya kuingia kwenye mahusiano na mtu mwingine bado alikuandika kwa jina la ukoo wa baba yako. Pia kwa kuwa alimuambia mimba ni yake, alijua ipo siku baba yako angekutafuta umri wa ujana ukimtoka Hakutaka kukunyang'anya haki ya msingi inayohusu utambulisho wako. Your mother ni zaidi ya binadamu na anastahili pongezi kwenye hili.

Na kwa upande mwingine baba mlezi aliafiki wewe kuitwa kwa jina la baba yako mzazi na kuwa tayari kukulea kama mwanaye wa kumzaa. Anajua ipo siku utakutana na baba yako mzazi na maamuzi yako mikononi mwako yeye ametimiza sehemu yake kama mzazi.

Nini cha kufanya? Endelea kumpenda baba mlezi kama mwanzo lakini baba yako mzazi usimpuuze, forgive. You never know ni nini kilimfanya akatae na huenda hiyo sababu hapendi uisikie huenda ikakuumiza au ikakufanya uhamishie hasira kwa mama. Kuna baadhi ya mambo wanaume huwa tunayapa muda hatukubali kirahisi. What if mama alikuwa na mahusiano na mwanaume mwingine at the same time yuko kwenye mahusiano na baba yako? Unafikiri ni rahisi kukubali kirahisi. Wanaume huwa tunajipa muda mtoto azaliwe. Sisemi mama alikuwa hivyo ila najaribu kufikiri kwa kina as a man. Na mara nyingine mtoto akizaliwa akina mama huwa wakali kutokana na waliyopitia baada ya kukataliwa. Na Unafikiri kama sababu inaweza kuwa kama hizo na wakati huu baba ako ameshakuwa mtu mzima atakuwa tayari kumkosea heshima mama yako aliyekulea? Sidhani !

Mpe nafasi kabla hajafa akutambulishe kwa ndugu zako na sio lazima uhitaji kitu kutoka kwake. Isijetokea mbeleni ukaolewa na kaka yako au watoto wenu wakaja kuoana. Na ndio sababu mojawapo ya msingi ambayo mama yako alikuandika jina la ukoo la baba yako mzazi. Utajisikiaje hayo mambo yakija kutokea kwenye maisha yako? Kujua identify yako na wanaohusika nawe ni jambo la msingi katika mambo mengi.

Kaa na baba mlezi mweleze juu ya ujio wa huyo baba mzazi kwenye maisha yako. Lakini usisahau kumtambua na kumuambia baba mlezi kuwa ana nafasi kubwa katika maisha yako ila unahitaji kujua ndugu zako kwa sababu mojawapo ya hizo nilizotaja zisijetokea. Kuna wakati utatamani kumjua baba yako vizuri pamoja na ndugu zako wengine lakini atakuwa hayupo wamebaki wasiokutambua.

Usiangalie sana mambo ya nyuma ambayo huyajui. Kwa kuwa mama hakuzuii fanya kukutana naye na kuwa na mawasiliano naye ya kawaida. Kuna mengi lakini hayo yanatosha kiutu uzima.
Umenena vyema sana lakini Huyu dada kumjua baba yake mzazi tu inatosha maana hata sasa mama yake hajarudiana na baba yake so haibadilishi kitu hata kama Mama ake alizingua mambo bado ni yale yale.. Baba mzazi asitegemee mapenzi ya huyu dada love come with cost sio rahusi hivyo..
 
Muulize mama ako sababu ya baba ako kukutelekeza, maana kwa hili swala wamama wanapenda sana kuplay victims wakati nyuma ya pazia wao ndio sababu ya kuwatenganisha watoto na baba zao. Nasema haya kwa sababu thats what im going through right now,
Imagine mwanamke anakutegea mimba kwa makususdi
  • Haujawahi kupanga kumuoa wala hamjawahi kuzungumzia suala la kuzaa wala haujawahi kumtongoza kumtamkia neno nakupenda it was just a company ila mwisho wa siku anakwambia ana mimba
  • Unakubali kugharamikia na kuishi naye kwa sababu ya kijacho na sio mapenzi
  • Kipindi mkiishi anakuletea visa na visanga ambavyo havivumiliki (kucheat akiwa na mimba, malimbwata) ila unamezea kwa sababu unajua sio type yako ni kumhurumia tu ajifungue salama
  • Anajifungua umegharamikia kila kitu ila kwa sababu anajua hautomuoa anakufanyia visa ili ukasirike umtelekeze mtoto ili akajihurumishe kwa watu wengine kuwa amezalishwa akatelekezwa ili hali baba unamjali mtoto na unamgharamia vizuri tu
Wakati mwingine wamama ndio huwa wanalazimisha hii hali esp. pale anapojua kuwa mwanaume hana mpango wa kumuoa lakini anagharamia mtoto, kwa hiyo kwa maksudi wanaforce mazingira ya kumfanya mwanaume amtelekeze mtoto ili kumtia ubaya kwenye jamii.
Wanawake wengi wanatumia watoto kama fimbo za kuwatia ubaya wanaume waonekane hawajali kumbe ni ujinga wao wa kudhani ukimtegea mimba mwanaume ndo atakuoa.
Acha excuse za ovyoo wewe kwa hiyo kama hamjaplan kuzaa akipata mimba ndo unamtelekeza na mtoto????
 
Kama baba alikutelekeza wew na mama yako kwa sababu yoyote ile either makosa ya mama yako au ugomvi wao bhasi Huyo atabaki kuwa baba mzazi lakini hapaswi kulazimisha umpe upendo ambao kiufupi utakua unafake... Baba yako mlezi ndie baba yako anaedeserve all ur love na respect ila baba mzazi umfahamiane tu kila mtu ashike zake sio kuanza kutaka kupalilia upendo leo ni Kuidanganya nafsi yako.
 
Umenena vyema sana lakini Huyu dada kumjua baba yake mzazi tu inatosha maana hata sasa mama yake hajarudiana na baba yake so haibadilishi kitu hata kama Mama ake alizingua mambo bado ni yale yale.. Baba mzazi asitegemee mapenzi ya huyu dada love come with cost sio rahusi hivyo..
Uko sahihi. Kumjua baba yake na ndugu zake inatosha na haina maana aanze kuutafuta upendo kwa o kwa remote. Mengine yatakuja automatically mbele ya safari ila kiuhalisia hawawezi kuwa na bond ya kifamilia.

Tunachohofia wazee ni watoto wa baba mmoja au watoto wao kukutana na kuanza mahusiano.
 
Yaah ndo hicho tu ila the rest huyu mzew awe mpole wengine hawanaga aibu hadi mahari wanatakaga wapokee wao[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787] Bila hivyo siki ya mahari anakuja kuharibu shughuli wazee wengine vimeo unaweza tamani kumpoteza kabisa yani hiyo ni Case imetokea live nikishuhudiaaa...
 
Very true. Ila pia nimeona baadhi ya wazee wanatamka wazi huyu ni mtoto wangu ila yupo baba yake aliyemlea ndio anapaswa kupokea ingawa kwa kweli kuna wazee ni vimeo balaa anaweza taka hata kuvunja ndoa ya baba mlezi
 
Acha excuse za ovyoo wewe kwa hiyo kama hamjaplan kuzaa akipata mimba ndo unamtelekeza na mtoto????
Kukosana kupo tu kwenye relationshis hasa kipind ch mimba zisizo rasmi.
Najiuliza tu.....wht kama jamaa hapo nyuma alitaka kurud ila akakuta mama kashaolewa na baba mlezi ana provide..wht if kama jamaa akaona si busar ku intrude akaharib mahusiano y family y ex wake so akaamua ku sacrifise asilet mikanganyiko ya kifamilia?? What if? Najiuliza
 
Very true. Ila pia nimeona baadhi ya wazee wanatamka wazi huyu ni mtoto wangu ila yupo baba yake aliyemlea ndio anapaswa kupokea ingawa kwa kweli kuna wazee ni vimeo balaa anaweza taka hata kuvunja ndoa ya baba mlezi
Acha kabisa so huyu dada awe makini baba kulazimisha Upendo ghafala hivi sio kawaida Just imagine baada ya Miaka yote hiyo baba yake mlezi kumpa mapenzi na upendeleo kama mwanae wa kumzaa mahari apokee baba mzazi aiseee ni Kujitakia laana tu.. Atafanya baba mzazi ajutie sana hata kama haitaki hiyo mahari maneno ya waja na wanae yatampa shida sana
 
Very true. Ila pia nimeona baadhi ya wazee wanatamka wazi huyu ni mtoto wangu ila yupo baba yake aliyemlea ndio anapaswa kupokea ingawa kwa kweli kuna wazee ni vimeo balaa anaweza taka hata kuvunja ndoa ya baba mlezi
Umeon eeh?nimeuliza hapo juu..what if jamaa alitka kurud kitambo ila akaona si vyema kuharibu ndoa ya huyo mama?
 
Ngumu kumeza hii

Jitahidi uwe unawasiliana nae japo mara moja kwa siku mbili na kumtembelea japo mara moja kwa siku 45
 
Kukosana kupo tu kwenye relationshis hasa kipind ch mimba zisizo rasmi.
Najiuliza tu.....wht kama jamaa hapo nyuma alitaka kurud ila akakuta mama kashaolewa na baba mlezi ana provide..wht if kama jamaa akaona si busar ku intrude akaharib mahusiano y family y ex wake so akaamua ku sacrifise asilet mikanganyiko ya kifamilia?? What if? Najiuliza
Mkuu kwa hapo Walipofika hao wazee hakuna anaeweza kusema ukweli what happened unadhani mama diamond why hajawahi mkaribisha baba diamond kwenye maisha yake tena na kwenye mafanikio ya mwanae???? Wazee wanazingua na mama zetu pia sometimes chenga so huyu dada ninachosema amtambue baba yake mzazi ila asilazimishe upendo never...
 
Umenena vyema mzee wa kimsihara.Maan watu badala ya kutoa ushuri wamejikita sana kumshutumu huyu mzee....

Mimi pia sishauri Carleen ajisumbue kw lolote na huyu mzee ila we rest hatujui the bckground...tusimhukumu mzee wa watu
 
Back
Top Bottom