Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,809
- 11,462
Na hili wanaume ndio tujifunze. Unapanda ulichovuna.
Kuna mzee alijitetea vyema kwa mwanae akaeleweka. Yeye alikimbia shauri ya ugumu wa maisha, alijielezea mpaka mtoto machozi yakamtoka. Mimi binafsi, aliyekimbia kwa shauri ya ugumu wa maisha walau naweza kujenga naye bond, lakini sio yule anayekuja kwa kulazimisha.
Huyu wa kwako ni miyeyusho ale kona tu. Japo, hujaeleza vema stori hasa ilikuaje, inaonekana alitema shit kwa mama yako. Maana haiwezekani hata kama walikua hawana good terms bado si sababu kutokukuhudumia.