Busara kidogo inahitajika katika hili

Busara kidogo inahitajika katika hili

Hii mada waisome sperm donor wote waliopo humu jf, inasikitisha sana mtu kujifanya anakupenda sasa ilhali alikukana na kukutelekeza tangu mimba🤤🤤, baba mlezi kamsitiri mama yako na wewe pasipo kusita, mthamini na ongea nae juu ya hilo mpe heshima na nafasi yake maana anastahili hilo na abarikiwe sana

Anajipendekeza baada ya kukosa mtoto wa kike tu
Wakati mwingine kukubali Mimba sio rahisi kihivyo!!mnajikuta mpo watatu KWA dem mmoja wakati huo huo Hadi unafanya kusitisha MAHUSIANO!!sasabaadae unaambiwa mimba unashtuka!!
 
Wewe vuta picha tu Ungekua umepigwa mimba kama Tatu hivii..umejichokea unaishi kwa kuombaomba barabarani...Angekuja Kukuambia yeye ni baba yako?

Point ya msingi Ni hii...Duniani watu hukuchagua kwa sababu ya personal interest....Hiyo charming unayosema ndiyo ulaghai aliutumia wewe ukapatikana usifanye kurudia makosa binti....Oohoooooo!
 
[emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Wakati mwingine kukubali Mimba sio rahisi kihivyo!!mnajikuta mpo watatu KWA dem mmoja wakati huo huo Hadi unafanya kusitisha MAHUSIANO!!sasabaadae unaambiwa mimba unashtuka!!
Uzuri kuna vipimo vya DNA kama unajijua na wewe ulikula hapo mahala tena kavu mtoto si atazaliwa, itajulikana ni wako ama si wako.
 
Wewe vuta picha tu Ungekua umepigwa mimba kama Tatu hivii..umejichokea unaishi kwa kuombaomba barabarani...Angekuja Kukuambia yeye ni baba yako?

Point ya msingi Ni hii...Duniani watu hukuchagua kwa sababu ya personal interest....Hiyo charming unayosema ndiyo ulaghai aliutumia wewe ukapatikana usifanye kurudia makosa binti....Oohoooooo!
Wanarudi wakiwa wazee au life limewabutua na akicheki mtoto maisha mazuri anaona kapata mahala pa kuponea.
 
Wanaume wote mnaolea watoto mnaowakuta kwa wake zenu kwa upendo mkuu kabisa. Mna nafasi yenu special peponi.

Tambueni tu inawezekana ukaona unafanya kitu kidogo ila ni kikubwa sana, na bahati nzuri watoto huwa wanaelewa na kuthamini sana michango yenu.

Nikirudi kwenye mada, dada hapo baba yako ni huyo aliyekulea na simamia Hilo ili asijekujisikia kwa nafasi kubwa aliyokupa.

Kama unavyosema wewe ni kipenzi chake, yawezekana Wala si kipenzi chake ila anafanya haya yote ili usione baba ananitenga kwa kuwa mimi si mwanae wa kunizaa.

Kwa hiyo anafanya hata ambayo baba mzazi asingeweza kukufanyia.

Huyo aliyejitokeza ukubwani muone tu kama watu wengine muheshimu kama wengine ila usimpe uzito huo anaoutaka.

Ikitokea umefanikiwa basi matunda ya mafanikio yako ale baba mlezi
 
Kutunga mimba sio kazi kzi ni kulea mtoto aaliyezaliwa, hakuna kipindi kigumu Kama kulea.

Humeshimu Sana aliyekubali kukukumbatia mpaka umekuwa mkubwa ukimuudhi huyo machozi yake hayatakuacha salama.

Achana na huyo anayejiita baba yako mzazi baki kumheshimu tu Kama baba lakn usijekujichanganya kuambatana naye.

Kuna watu wanaoitwa shangazi hao iko siku watakuja kuujeruhi Moyo wako.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mwanaume kuitwa baba ni lazima uhangaikie familia yako hususan watoto uliowaleta duniani.

Achana na huyo mbwiga alokukataa tangu utoto hadi leo hii aje kujifanya analialia anaomba msamaha kwa kukutelekeza.

Mpe heshima sana huyo baba unayemuita mlezi, na kiuhalisia huyo ndiye baba yako Wala si vinginevyo
 
I just can't thank you enough guys, thank you so so much..!
Kuna nguvu nimeipata ya kujua muelekeo sahihi ni upi, it's like big weight has been lifted off my shoulders right now..!!
 
gracious,
this has been appreciated..!!

Ahsante kwa wine pia..!
U'r a brave woman in all sorts of ways, it's a heart wrenching story and beautifully written. U are strong and kind woman to do that not many would, all the best to u.
But u need someone brave and romantic like me, need to talk to u privately
 
Haha..
Eti romantiq like Me..!!

Hivi unajua Mimi na wewe tushawahi gombana pahala..!?
 
Kwa kweli jinsi nilivyosabuskraibu ule uzi yani hii ni kutukosea adabu Carleen
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hahahaa...
Mmenichangamsha mpaka nimecheka tena..!
kale ka Uzi niliwahi ku comment mwanzoni kabisa lakini nilivyoona kananipeleka jehanum peku peku nikafuta na ile comment kabisa..!
 
Yaani umeshauri kitaalam sana big up watu kama wewe ni wachache! Mtoto anaweza kulishwa sumu ya maneno na akajenga chuki bila kujua upande wa pili

Hakuna sumu wala nn most of men uwa tunazingua ninamifano kibao na watu wana uwezo kabisa lkn hawaudumii watoto wao kwa makusud wakilingia nguvu na pesa walizonazo sasa ila umri ukienda pesa kuisha nguvu kuisha ndo wanakumbuka watoto waliotelekeza kwa kashifa na majivuno....
 
duh! haya mambo yapo sana kwa sisi tunaoishi na masingle mother, ila pia unatakiwa kuelewa kuwa huyo baba ako mzazi aliachana na ur mumy kwa7bu zipi! usukute labda alifumaniwa, au usikute labda huyo baba ako mzazi ndiye aliyeharibu mahusiano yake kayi ya baba mlezi na mama ako
Kwahiyo ndio kumtelekeza hata mwanae miaka yote? Sasa kama labda alifumania akakimbia, sasa leo amerudi kufanya nini?
 
Back
Top Bottom