Natumaini unaona hizo sehemu
nilizoBold na kuweka
strikethrough
-Kwa tamaduni zetu za kiafrika mtu ambae unamuheshimu kama mzazi hutakiwi
kumu-Address kama ulivyofanya hapa, kwa muono wangu sidhani kama inaleta picha nzuri kumuita baba yako mzazi au mlezi "Huyu Mwanaume" hilo ni jina analoweza kuita mama yako pekee. Otherwise Ukifanya kama ulivyofanya hapa wengine wanaweza kuhisi kuna hali ya
incest kati yenu. Maybe ndio maana nae inakua rahisi kukuita "Toto langu"
I'm so sorry for saying this to you I might be wrong too but my point is pinned to the fact that the way you address your father figure is not Healthy. Change!!!!
______
Rolling to the main topic!!
Kuna Father na Daddy, Father anatia mimba hajali Mtoto atakua vipi na kuishi vipi...Daddy anatia mimba na kujali kiumbe hicho alicholeta duniani kwa "Kuwepo" pembeni ya kiumbe huyo siku zote. Kwa maelezo ulivyoeleza huyo aliyekuzaa
he was your father but wasn't your Daddy. Anachokifanya ni kutaka kula mavuno ya shamba ambalo hakulipalilia, jambo hili Hata Mungu kakataza. Maana anasema...
Mathayo 25:24,28,30
[24]Akaja na yule aliyepokea talanta moja, akasema, Bwana, nalitambua ya kuwa wewe u mtu mgumu, wavuna usipopanda, wakusanya usipotawanya;
[26]Bwana wake akajibu, akamwambia, Wewe mtumwa mbaya na mlegevu, ulijua ya kuwa navuna nisipopanda, nakusanya nisipotawanya;
[27]basi, ilikupasa kuiweka fedha yangu kwa watoao riba; nami nikija ningalipata iliyo yangu na faida yake.
[28]Basi, mnyang’anyeni talanta hiyo, mpeni yule aliye nazo talanta kumi.
[30]Na mtumwa yule asiyefaa, mtupeni mbali katika giza la nje; ndiko kutakuwako kilio na kusaga meno. |
Btw Kwakua hatujajua kisa cha mzazi halisi kukutelekeza basi Siwezi mlaumu. Ila cha msingi ongea na mama yako akupe kisa chote cha baba yako kukuacha kisha msikilize na baba yako pia upande wako then wewe mwenyewe utaamua cha kufanya.
Choose wisely
Obvious naamini baba yako anachotaka ni kupata recognition ya kua wewe ni mtoto wake if so basi mpatie. Mjulie hali hata kwa simu mara moja moja mtembelee, ila mapenzi kwa baba mlezi usipunguze kamwe.