Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
Unaikumbuka ile Madenge alishindwa kusoma darasani sababu ya kimini cha mwalimu
Nilikua namkubali sana madenge aiseeee..... hasa pale alipokua akitumia akili zake za kuzaliwa, ilhali baba na jamii ilio mzunguka ikim tafsiri kwamba adabu yake ni ndogo teh..tehh....