binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Haha Wabeja kulumba (sijui kama niko sahihi)Una akili sana. Basi tu watu huwa wanakuchukulia poa!
Comment yako hii inaonekana ya kawaida lakini kwa sisi wafuasi wa tapo la Existentialism, ni comment nzito na iliyobeba maana ya ndani sana.
Wabeja (Asante!)
Watu wana wasiwasi na vingi kiasi kwamba wanashindwa kuishi vizuri.
Ngoja nirudi darasani kidogo nijifunze kuhusu Existentialism na matapo mengine…..