Business Class ina raha yake - tafuteni pesa

Business Class ina raha yake - tafuteni pesa

Mkuu m
Ilitokea zali tiketi yangu ilikuwa ni kama vile haitambuliki. Mfumo wao ulikuwa na matatizo wakanikatia tiketi kwenye trip ambayo kumbe ilishakuwa revoked na ikatakiwa kuondolewa kwenye system. Nafika airport system haisomi maana safari ya hiyo tiketi haipo. Halafu ni lisafari lirefu kutoka LAX mpaka Heathrow. Twende huku mara kule hakuna suluhisho maana ilikuwa ni full flight economy kumejaa. Vu bin vu mpaka kwa meneja simu zinapigwa makao makuu Chicago (United Airlines)

Mara naambiwa kuna siti moja imepatikana business class twende. Sema nilikuwa nimetia pamba safi nilipofika huko sikuonekana out of place sana japo ni kweli kuku mgeni hakosi kamba mguuni. Kiti tu kilivyo na entertainment system nikaona leo nimepanda level mpaka nikawa najiuliza huko first class huko kukoje?

Wahudumu wapole, vinywaji na vyakula bwerere, kiti kikubwa halafu kinasukumika kwa nyuma unalala kwa raha, yaani mpaka chooni kuko tofauti. Ni kati ya safari nilizosafiri kwa raha kabisa. Nikawa najisemea kuna haja kubwa ya kutafuta pesa kwa bidii aisee. Ila pesa nazo sasa mh! It has been more than 7 years na pesa ndo kwanza zinazidi kupiga chenga. Pesa hovyo sana aisee!😁
Kweli mkuu, mchawi pesa.
 
Shughuli zangu za kutafuta kipato zinanilazimisha kusafir mara nyingi kwenda nje kwa (ndege) za mashirika mbalimbali hususani Emirates, Qatar na KLM.

Sasa kutokana na Miles nilizo nazo mara kadhaa nimekua nikifanya upgrade kukaa Business Class aisee treatment yake si ya kitoto kuanzia CHECK IN, EXCLUSIVE LUXURY LOUNGE na inflight menu na huduma super.

Tutafute pesa.

NB: Samahani kwa wote watakaohisi nimewakwaza kwa bandiko hili. Ila ndio uhalisia
Mimi shauku yangu kubwa ilikuwa kupanda A380 kabla hazijasitaafishwa maana makampuni mengi yanalalamika gharama za uendeshaji ni mkubwa.

One day napata trip ya London nikafanya research nikapata Emirate anaenda london kwa A380. So chap nikabook kwenda lower deck, na kurudi upper deck.

So binafsi najiona nimemaliza kila kitu kwenye ndegešŸ˜„
IMG_1335.jpeg
 
Hodakaga natole nhomu Jamiiforum nachagole ganike gagabuza
Abanikī Bamujamii Foramu abingī omala gūbachima. Ūliyagamba lya magaka Lyang'walūgiko nkoyi!

Abonabamanile gīkī obachima basikile ikūmi na mpungatī. Nomhūkobe ganikī gageni ako gatalī ūgūching'wa na ming'wana Amujamii Foramu ūgatole.

Nūnene nkoyi hūtobanaga nachime nūlū ganīkī gamo guke Ahajamii Foramu henaha. Alīyobūlīkwene ūlūnabūja

"Ūbebe ng'wanikī oching'wa na ngosha ose ose Ahajamii Foramu henaha"

ÅŖdwanike dohaya:

"Īmaga nagūwīle yang'hana nkoyi Shimba ya Buyenze. Ūnene Ahajamii Foramu henaha naching'wa na gayanda gamo guke. Gagitanagwa ga T 1990 ELY. Gachimi balaa!"

Nagakumaja sana bahebu. Nikobelage nane gamo nachime nkoyi šŸ˜šŸ˜šŸ˜šŸƒšŸæā€ā™‚ļøšŸƒšŸæā€ā™‚ļøšŸƒšŸæā€ā™‚ļø
 
This is Qatar Airways..... Flight number QEw76D.....

It's a final call for our passenger Ibn Unuq pls check in, we are waiting you...
Hi imewahi kunitokea mimi binafsi tena hapa hapa bongo. Wakati wa JK, Mwakyembe akiwa waziri wa uchukuzi, alijaribu kulifufua shirika letu la ndege la ATC, nilikua na wenzangu tunatoka Dar kwenda Mwanza, I don't know nilikua ninafikiria nini, wakati tuna check IN nilisahau kuchukua boarding ticket, wahudumu wa ile ndege plus marubani walikua wazungu. Nilikua abiria wa mwisho, inasemekana yule mama wa Kizungu ambaye alikua anaongoza wale wahudumu aliagiza nisubiriwe na kama boarding ticket nimeikosa nipande cause ninayo ticket; so these things depends na aina ya watu wanao ongoza ndege hizo. Now days same ATC ina ndege nzuri lakini muda wa kuondoka haujulikani hata kama ume check IN.
 
Hi imewahi kunitokea mimi binafsi tena hapa hapa bongo. Wakati wa JK, Mwakyembe akiwa waziri wa uchukuzi, alijaribu kulifufua shirika letu la ndege la ATC, nilikua na wenzangu tunatoka Dar kwenda Mwanza, I don't nilikua ninafikiria nini, wakati tuna check IN nilisahau kuchukua boarding ticket, wahudumu wa ile ndege plus marubani walikua wazungu. Nilikua abiria wa mwisho, inasemekana yule mama wa Kizungu ambaye alikua anaongoza wale wahudumu aliagiza nisubiriwe na kama boarding ticket nineikosa nipande cause ninayo ticket; so these thing depends na aina ya watu qanao ongoza ndege hizo. Now days same ATC ina ndege nzuri lakini muda wa kuondoka haujulikani hata kama ume check IN.
Nashukuru kwa taarifa na ushuhuda Kuna mtu alinambia uwongo.... Ila watu wakati mwingine hawaelewi mpk unasikia jina huko...

Pole mkuu
 
Shughuli zangu za kutafuta kipato zinanilazimisha kusafir mara nyingi kwenda nje kwa (ndege) za mashirika mbalimbali hususani Emirates, Qatar na KLM.

Sasa kutokana na Miles nilizo nazo mara kadhaa nimekua nikifanya upgrade kukaa Business Class aisee treatment yake si ya kitoto kuanzia CHECK IN, EXCLUSIVE LUXURY LOUNGE na inflight menu na huduma super.

Tutafute pesa.

NB: Samahani kwa wote watakaohisi nimewakwaza kwa bandiko hili. Ila ndio uhalisia
Huu ushauri ni mzuri, ukipata fedha zaidi unaweza fikia ile hatua mtu anakodi zile yacht, anakula maisha baharini huko utadhani ni sea goddess.
 
Back
Top Bottom