Business Class ina raha yake - tafuteni pesa

Una akili sana. Basi tu watu huwa wanakuchukulia poa!

Comment yako hii inaonekana ya kawaida lakini kwa sisi wafuasi wa tapo la Existentialism, ni comment nzito na iliyobeba maana ya ndani sana.

Wabeja (Asante!)
Haha Wabeja kulumba (sijui kama niko sahihi)

Watu wana wasiwasi na vingi kiasi kwamba wanashindwa kuishi vizuri.

Ngoja nirudi darasani kidogo nijifunze kuhusu Existentialism na matapo mengine…..
 
Niliwahi kupanda hiyo business class nilihara vibaya sana, walitupatia vimisosi vya ajabu ajabu sijui tuchura tule?. Mi napandaga economy halafu napendaga kasiti ka mwisho kuchukua namba ya air hostess maana ndege ikisimama kituoni huwa wanajificha.
 
Sasa unatukwaza na nini! Wewe sema unajishtukia tu, au umeamua kuturusha! Kwa mfano mimi na jamaa zangu wengi tu humu hatujawahi kupanda hizo ndege zenu! Halafu ndiyo mtukwaze kwa sababu mnasafiri kwenye hizo business class zenu!

From what i know, siku zote dunia haiko fair! Thats all! Na ndiyo maana unaweza kumkuta Mtumishi wa umma ndani ya hii nchi anakopa milioni 5 benki kwa ajili ya kukarabati kibanda chake anachoishi, na kutakiwa kulipa na riba kubwa kwa miaka 5-9!! Halafu wakati huo huo unasikia Rais wa nchi ananua kila goli la timu za Yanga na simba kwa thamani ya pesa hiyo hiyo!
 
Haha Wabeja kulumba (sijui kama niko sahihi)

Watu wana wasiwasi na vingi kiasi kwamba wanashindwa kuishi vizuri.

Ngoja nirudi darasani kidogo nijifunze kuhusu Existentialism na matapo mengine…..
Umepatia kabisa. Kwani wewe ni bageshi? 😳

Watu wana wasiwasi eti watakuwa na mazishi ya aina gani, utafikiri hiyo ina maana yo yote kwao. Uzikwe na watu wanane kimya kimya kama Matola - yule omba omba mashuhuri; au uzikwe na dunia nzima kama Mandela wewe uliye ndani ya jeneza wala haikusaidii cho chote πŸ™πŸΏ

➑️➑️➑️ Karibu tujifunze Existentialism pamoja bageshiπŸ™πŸΏ
 
Acha kabisa business class emirates balaaa....wana supu yao ya mabogo aisee ni tamuu hiyo.

Ila aikushauri upande business ndege za waafrica utajutia hela yako. Hawajui maama ya business class hawa ngozi nyeusi hovyo kabisa.

Ila kwa taadhari tuu, kukaa business class na first class kunaongeza uwezekano wa kufa kwenye ajali ya ndege
 
Tena sasa tutashauri timu yoyote ile itakayo fanikiwa kumpiga mtuu mkono apewe million 50 kama bonus ya mama.
Kama leo yanga wangepata mil50 zao
 
Emirates A380 business class niliopanda kwenda BALI (Indonesia) kutokea Dubai tulikaa upper deck (nyuma). Usikariri
 
Hahaha buddy.
Kila mtu anatafuta pesa labda hata kwa bidii kuliko wewe haha.

Lakini matokeo yake kila mtu anashinda mechi zake.

Wengine wakiweza kuoa mke wa pili na watatu, kwao ni mafanikio makubwa.
Hao watakwambia tafuta pesa kuoa wake 4 raha sana.

Hahaha
 
Ndio matumizi ya hela hayo...kula mbususu
 
Asante sana Babu.

Bageshi ni Evelyn Salt mimi ni wifi yake. 😊
 
Je umesha zifumania ndugu au mchoto kutoka kwa walalahoi?
 
Unatufanya tujisikie vibaya sisi tunaotafuta ajira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…