sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Rapa namba moja duniani kwenye kucheza na ulimi "tongue twist" aitwae Busta Rhymes ameiambia dunia kupitia ukurasa wake wa Instagram kwamba Michael Jackson wa Africa ni Diamond Platnumz.
Busta amefikia kumuita Diamond ndio Michael Jackson wa Africa baada ya kuona uwezo wake mkubwa kiasi cha kuisimamisha Africa.
Walikuwa wote studio pamoja na international producer wa Diamond aitwae Swizz Beats.