sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Leta vidioRapa namba moja duniani kwenye kucheza na ulimi "tongue twist" aitwae Busta Rhymes ameiambia dunia kupitia ukurasa wake wa Instagram kwamba Michael Jackson wa Africa ni Diamond Platnumz.
Busta amefikia kumuita Diamond ndio Michael Jackson wa Africa baada ya kuona uwezo wake mkubwa kiasi cha kuisimamisha Africa.
Walikuwa wote studio pamoja na international producer wa Diamond aitwae Swizz Beats.
Inawezekana umjui Busta Busta vizuri wewe... Unajua anaweza kutamka syllables ngapi kwa sekunde?Rapa namba moja kwa category hiyo ni Twist
Unabishana na Busta Rhymes?Africa ilisimamishwa lini?
Lazima tufurahi muziki wetu kwenda kimataifa.Mmefurahi wenyewe 😂😂 dabliyusibi
Page ipi ya Insta ameandika hayo? Post ya lini? Explore account ya Busta hutoona huu uongo.Rapa namba moja duniani kwenye kucheza na ulimi "tongue twist" aitwae Busta Rhymes ameiambia dunia kupitia ukurasa wake wa Instagram kwamba Michael Jackson wa Africa ni Diamond Platnumz.
Busta amefikia kumuita Diamond ndio Michael Jackson wa Africa baada ya kuona uwezo wake mkubwa kiasi cha kuisimamisha Africa.
Walikuwa wote studio pamoja na international producer wa Diamond aitwae Swizz Beats.
Wa kwanza ni Twista.Inawezekana umjui Busta Busta vizuri wewe... Unajua anaweza kutamka syllables ngapi kwa sekunde?
Mtabakia hivyo hivyo mwenzenu anazidi kutoboa.Yani Busta Rhyme kasema huyu ni Michael Ole Jackson Diamond Sabaya ?
View attachment 1835349
Page ipi ya Insta ameandika hayo? Post ya lini? Explore account ya Busta hutoona huu uongo.
Tupia chakoVituko mtandaoni
Wewe unajua Twista anaweza kutamka ngapi kwa nusu sekunde?😁😂.. Ubishi wa kijiweni huuInawezekana umjui Busta Busta vizuri wewe... Unajua anaweza kutamka syllables ngapi kwa sekunde?
hahah hivi kuna mtu aliyebisha kuwa hatoboi?? 🤣 🤣 🤣Mtabakia hivyo hivyo mwenzenu anazidi kutoboa.