chongchung JF-Expert Member Joined Jun 23, 2013 Posts 13,277 Reaction score 40,924 Jan 30, 2021 #41 komora096 said: Ungelijua vile hao wasanii wenu wanahangaika na hicho kingereza wala usingelithubutu kuandika ujinga hapa Click to expand... Ninyi wasanii wenu wanajua sana English lakini hata wasanii wa Burundi ni maarufu kuwazidi
komora096 said: Ungelijua vile hao wasanii wenu wanahangaika na hicho kingereza wala usingelithubutu kuandika ujinga hapa Click to expand... Ninyi wasanii wenu wanajua sana English lakini hata wasanii wa Burundi ni maarufu kuwazidi
komora096 JF-Expert Member Joined Sep 26, 2018 Posts 20,548 Reaction score 5,647 Jan 30, 2021 #42 chongchung said: Ninyi wasanii wenu wanajua sana English lakini hata wasanii wa Burundi ni maarufu kuwazidi Click to expand... EA hakuna nchi ambayo wasanii wanalipwa vizuri ndani ya nchi km kenya.. Kwenu mtu maarufu lkn mfuko mwepesi
chongchung said: Ninyi wasanii wenu wanajua sana English lakini hata wasanii wa Burundi ni maarufu kuwazidi Click to expand... EA hakuna nchi ambayo wasanii wanalipwa vizuri ndani ya nchi km kenya.. Kwenu mtu maarufu lkn mfuko mwepesi
komora096 JF-Expert Member Joined Sep 26, 2018 Posts 20,548 Reaction score 5,647 Jan 30, 2021 #43 chongchung said: Hakuna msanii wa kenya mwenye hata robo ya ukwasi wa dai, wasanii wenu wote dai anaweza kuwalipa kila mwisho wa mwezi jumla ya shows zao zote kwa miaka 10 Click to expand... Eti yule domo wenu ndio mkwasi[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Acha ujinga aisee, networth yake bei ya kiwanja westlands huo ndio ukwasi jamani
chongchung said: Hakuna msanii wa kenya mwenye hata robo ya ukwasi wa dai, wasanii wenu wote dai anaweza kuwalipa kila mwisho wa mwezi jumla ya shows zao zote kwa miaka 10 Click to expand... Eti yule domo wenu ndio mkwasi[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Acha ujinga aisee, networth yake bei ya kiwanja westlands huo ndio ukwasi jamani
chongchung JF-Expert Member Joined Jun 23, 2013 Posts 13,277 Reaction score 40,924 Jan 31, 2021 #44 komora096 said: EA hakuna nchi ambayo wasanii wanalipwa vizuri ndani ya nchi km kenya.. Kwenu mtu maarufu lkn mfuko mwepesi Click to expand... Mna msanii gani huko? Wote jua kali
komora096 said: EA hakuna nchi ambayo wasanii wanalipwa vizuri ndani ya nchi km kenya.. Kwenu mtu maarufu lkn mfuko mwepesi Click to expand... Mna msanii gani huko? Wote jua kali
komora096 JF-Expert Member Joined Sep 26, 2018 Posts 20,548 Reaction score 5,647 Jan 31, 2021 #45 chongchung said: Mna msanii gani huko? Wote jua kali Click to expand... Juakali lkn show za ndani wanalipwa vizuri kuliko nyie mnavyowalipa wasanii wa ndani
chongchung said: Mna msanii gani huko? Wote jua kali Click to expand... Juakali lkn show za ndani wanalipwa vizuri kuliko nyie mnavyowalipa wasanii wa ndani