Hata sielewi nini huwa kinatokea mi mwnyw najikutaga tu nimefumba macho na mapaja mpk miguuni situliiUmofia kwenu!!!
Tukiwa kwenye wimbi zito la TL na huku tukiendelea kuchangia pesa za matibabu nimekaa nawaza hapa hivi kwann mtu akikubusu lazima utafumba macho?? au hata ukitumiwa sms ya kukubusu automatic(mara nyingi) unajikuta unafumba macho! labda kwa ambaye humfeel !
kwann tufumbe macho?? kwanini tusikodoe tu jicho !kuna nerve gan hapa zinahusika !
natamani tu kufahamu!
happy sabath.
Hata sielewi nini huwa kinatokea mi mwnyw najikutaga tu nimefumba macho na mapaja mpk miguuni situlii
Sent using Jamii Forums mobile app
Usipofumba ujue uliyenae humfeel,hahahha wewe naye umeanza nichekesha mie huku !alafu mie na ww ni group moja la damu nadhan !mbn hisia ziko juu hivi ?? ahahhaha ukute wengn hawafumbagi mwee!hehehehe !
Eeh according to gugoohh am relaxing kumbe! sawa !thnx maa'
Ngoja wajelakini nataman wanasayansi watujibu hapa pia !au kuna kanerve kanahusika hapa !
Yaaap kwanza km humfeel hata Hilo kiss utakuwa unawahi kuhamisha mdomo au kugeuza kichwa
Mimi hadi mate ya utam yananijaa mdomoni nikifanya hili tendo.Mbona ukichokonoa masikio unarembua macho?Kuna uhusiano gani?