Busu na kufumba macho vinahusianaje

Busu na kufumba macho vinahusianaje

MBITIYAZA

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2017
Posts
14,947
Reaction score
26,074
Umofia kwenu!!!

Tukiwa kwenye wimbi zito la TL na huku tukiendelea kuchangia pesa za matibabu nimekaa nawaza hapa hivi kwann mtu akikubusu lazima utafumba macho?? au hata ukitumiwa sms ya kukubusu automatic(mara nyingi) unajikuta unafumba macho! labda kwa ambaye humfeel !

kwann tufumbe macho?? kwanini tusikodoe tu jicho !kuna nerve gan hapa zinahusika !

natamani tu kufahamu!

happy sabath.
 
Hata sielewi nini huwa kinatokea mi mwnyw najikutaga tu nimefumba macho na mapaja mpk miguuni situlii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahahha wewe naye umeanza nichekesha mie huku !alafu mie na ww ni group moja la damu nadhan !mbn hisia ziko juu hivi ?? ahahhaha ukute wengn hawafumbagi mwee!hehehehe !
 
Back
Top Bottom