Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,503
- 20,892
Kuna wengine huwa nawaona wametoa nje ulimi piaMbona ukichokonoa masikio unarembua macho?Kuna uhusiano gani?
Umofia kwenu!!!
Tukiwa kwenye wimbi zito la TL na huku tukiendelea kuchangia pesa za matibabu nimekaa nawaza hapa hivi kwann mtu akikubusu lazima utafumba macho?? au hata ukitumiwa sms ya kukubusu automatic(mara nyingi) unajikuta unafumba macho! labda kwa ambaye humfeel !
kwann tufumbe macho?? kwanini tusikodoe tu jicho !kuna nerve gan hapa zinahusika !
natamani tu kufahamu!
happy sabath.
Ungekuwa karb ngekupa balimi bureeeeeeeeee1.Aibu
2.Uoga
3.Feelings
Hizo ndyo hupolekea kufamba macho kama huamin
Jaribu kwenda kumu kiss malaya uone kama mtafumba macho [emoji23]
Mmmmmmh!!!
Mimi wala nimetulia tuliiiii, lbd km mmenimiss mseme maana mpoozo wa lissu unaenda unatuliaMbiti na kapeace mnataka kuliamsha dude? Maana nyie
Teh uendelee tu kutulia mamaMimi wala nimetulia tuliiiii, lbd km mmenimiss mseme maana mpoozo wa lissu unaenda unatulia
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mbiti na kapeace mnataka kuliamsha dude? Maana nyie
Busu tamu mkuu, hasa mkipitishana miguu katikati, lazima macho yafumbwe tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Maana sio kwa mabusu hayo!!
Mbiti huwa anakuwa kama kapigwa radi ya Tukuyu, afu kapeace yeye huwa kama anaumwa polio[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Maana sio kwa mabusu hayo!!
Ni km stroke vile nyie haya mambo unaweza kuzimia na kupitiliza ajili ya raha tu, we mapaja kutetemeka najiulizaga ni nini hasa?????!!!!!!Mbiti huwa anakuwa kama kapigwa radi ya Tukuyu, afu kapeace yeye huwa kama anaumwa polio
Aaaa siyo mimi maana asubuhi nilikukis mwaaaaaaayeah kanikiss mwanangu
Haha me nimepita tu, unataka uliamsheNi km stroke vile nyie haya mambo unaweza kuzimia na kupitiliza ajili ya raha tu, we mapaja kutetemeka najiulizaga ni nini hasa?????!!!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Busu tamu mkuu, hasa mkipitishana miguu katikati, lazima macho yafumbwe tu
Sent using Jamii Forums mobile app