Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,007
- 11,316
Hahaha naheshimu sana wahenga hasa wale wa Before Christ (BC).hahaahahahaha wahenga wa mwendokasi hao huenda khaa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha naheshimu sana wahenga hasa wale wa Before Christ (BC).hahaahahahaha wahenga wa mwendokasi hao huenda khaa!
Hahaha wakinisaidia kumpa hela kwan kuna tatizo?[emoji6]hahhaa wewe sasa jifanye humpi hela mkeo za mahitaj yake watakusaidiaje sasa
Naomba niku kiss [emoji8] [emoji8]Mi sijawahi pigwa busu, Siku wakinibusu nitaleta mrejesho
Haaaaaaaah kweli!HIYO NI SAWA NA KUULIZA KUWA MBONA UKIJASAIDIA UNAVUA NGUO
Yale ya utoto sikumbukihata mama hajawah kukubusu mamy
We ni kiss mi chipooo wakikukamataNaomba niku kiss [emoji8] [emoji8]
[emoji8] [emoji8] ilo kila mtu ameona ulivyo vifumba vi macho vyakoWe ni kiss mi chipooo wakikukamata
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni mbwembwe tuu za wazinzi
Kwani uongo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sio buana ni hisia ujue ya mtu unayempenda ila umenichekesha sanaKwani uongo
Yani kuchokonoa maskio utamu wake, raha ya ajabuMbona ukichokonoa masikio unarembua macho?Kuna uhusiano gani?
tena utumie unyoya mdogo wa kuku au njiwa maweeeee ivi uku mjini manyoya yanapatikana wapiMbona ukichokonoa masikio unarembua macho?Kuna uhusiano gani?
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji85][emoji8] [emoji8] ilo kila mtu ameona ulivyo vifumba vi macho vyako