Butiama: Mashamba ya wasimamizi ya Uchaguzi yaharibiwa

Wanaowaaminisha wananchi kwamba wanahaki ya kuwachagua viongozi wanaowataka huku wakinyimwa kwenda hata hiyo nafasi ya kwenda kuwachagua wanagharama za kubeba huko tunakoenda.

Ni upuzi kuamini wapinzani wengi hawajui kujaza fomu na chama kimoja tu nchi nzima ndo kiwe na weledi.

Hiyo ni chuki mnawajengea wananchi
 
Hapo si ndio pale alipozaliwa mjukuu wa Mzee Burito akiitwa Kambarage? Ama ninaota tu...
 
Waliohusika wote wakamatwe wavune walichopanda. Tabia hii ikifumbiwa macho italeta madhara makubwa
Kuna tabia ambayo inaleta taharuki kama hiyo, hiyo ndo mbaya zaidi kwa sababu ndo mzizi. Ukianza kukata matawi ya mti haukufanyi ule mti kutoa matawi mengine. ng'oa mizizi kabisa utakuwa umetibu tatizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…