ROGATH MCHAU
JF-Expert Member
- Jan 17, 2017
- 569
- 1,012
HUO MFANO SIO KWELI HUKO MAREKANI UNAPOPASEMEA KILA SIKU WANAJADILI KUHUSU TRUMP NA WENGI HAWAMTAKI,siyo kweli Tizama mfano marekani baada ya mshindi Wa uraisi kutangazwa TU
Watu waliingia kazini
Lakini huku toka siku ya uchaguzi ni kelele za Mara ooh! Yule hakustahili, Mimi ndiyo nipo sahii yaani ni marumbano ya siasa mpaka 5yrs zina katika "
Hakuna kitu kinafanyika
700 × 467
