HesabuKali
JF-Expert Member
- Jan 4, 2016
- 2,880
- 5,887
Adhabu wanayojiandalia CCM ni kubwa mno.
Rais Magufuli anawadanganya hawa watu akijua yeye ana kinga ila hawa tutakaobaki nao mtaani watalipia kila punje ya usaliti waliofanya.
Kama Rais anayanyamazia haya akijijenga yeye, basi fedheha wanayopitia team Kikwete yeye ataipitia mara 100 yake, watu wana maumivu makubwa moyoni na hayaponyeki kwa kutumia polisi na kila aina ya dhulma, haya watayalipa kwa namna itakayofaa na kwa muda utakaofaa lakini kila msaliti atalipia gaharama kwa namna yoyte ile.