Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,189
- 128,283
vipi kuhusu makazi yao?
Hata ufundi huathiriwa na siasa.Maendeleo ndio siasa yenyewe labda kama ulisoma ufundi
Wa kwanza kabisa aliyepaswa kukamatwa ni Jaffo huku watendaji waliozichana fomu za wapinzani wakifuatia. Haya yote yamesababishwa na wahuni wachache kwaajili ya kutimiza ibada ya kumwabudu jiwe.Waliohusika wote wakamatwe wavune walichopanda. Tabia hii ikifumbiwa macho italeta madhara makubwa
Badala ya kukemea unashangaa!Duuu!Duh!
Waanze kukamatwa waliokata majina ya wagombea kwanza alafu ndio wawasake hawa. .....ngumu kumesaeeeWaliohusika wote wakamatwe wavune walichopanda. Tabia hii ikifumbiwa macho italeta madhara makubwa
Wacha dawa iwaingiie na watulie kama mojaMnyoosho umeanza.
Umeandika ukiwa umewaza vema? CCM wakiililia amani wewe na nduguzo wasio CCM hamtaililia?CCM hawapendi amani. Ipo siku wataililia hiyo amani