Butiama: Mashamba ya wasimamizi ya Uchaguzi yaharibiwa

Butiama: Mashamba ya wasimamizi ya Uchaguzi yaharibiwa

chadema wanatakiwa wote wanyongwe hawajakoma tu kuleta majanga hawa halafu wanataka nchi hawatufai
Nyie watu wenye masura mapana mnatuonea Sana wivu amani upendo na undugu wetu mmekuja kuivuruga mtatawanyika kwa njia saba kurudi kwenu
 
Wahusika wakamatwe mje tena kulia lia , maana mshasema wenyewe kuwa mliokatwa majina yenu ndio mliofyeka mahindi hayo
 
Wa kwanza kabisa aliyepaswa kukamatwa ni Jaffo huku watendaji waliozichana fomu za wapinzani wakifuatia. Haya yote yamesababishwa na wahuni wachache kwaajili ya kutimiza ibada ya kumwabudu jiwe.
Jaffo ni muislam safi aliyeelimika na kustaarabika hawezifanya yasiyostaarabika sema mazingira yamembana
 
Hii ndio moja kati ya sababu nyingi zinazo nifanya niichukie siasa, hata humu jf
 
Back
Top Bottom