PreGE2025 Butiama: Mbunge Sagini achinja ng'ombe 500 kutoka uturuki na kugawia wananchi sikukuu ya ‘Eid al-Adha’

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
..hio sio bure.

..kuna kitu Waturuki wanakitafuta.

..tutakuja kuwalipa.
Wala hakuna cha kulipa ni sadaka waturuki huwatolea jamaa zao waliofariki mara nyingi na ni nchi nzima au sehemu kubwa, kanda ya kati ni maarufu mambo haya.
 
Ila Ngómbe zimekuja kwa Jina lake na Mahusiano yake mazuri na hao Waturuki tatizo liko wapi? Punguzeni Chuki na Wivu.
Ni kawaida waturuki hutoa sadaka ya wanyama kwenye hii eid ya kuchinja, pengine this time yeye amejipa usimamizi maana huwa wanaajiri watu kwa kazi hiyo.
 
Hii ni rushwa kama rushwa nyingine hata kama watasema sikukuu ya namna inaruhusu. Kwa miaka mitano sasa amekuwa Mbunge mwaka huu ndio ameona hii sikukuu? Usikute upepo wa wajumbe unavuma vibaya huko jimboni kwake
 
Too late No Reform No Election asipoteze pesa zake
 
No Reforms No Election
 
Ila Ngómbe zimekuja kwa Jina lake na Mahusiano yake mazuri na hao Waturuki tatizo liko wapi? Punguzeni Chuki na Wivu.
Mimi sina hata kimoja katika hivyo ulivyotaja, nilikuwa tu naweka sawa nukta husika, I surrender my case.
 
Haya sindio mmbo yetu🤣
 
500×500,000=250,000,000/=
Dawati moja let say 100,000/=
250M ÷ 100,000 =2500

Dawati moja watoto 3
2500×3=7500
Angenunua madawati ya watoto jimboni kwake angesaidia watoto wa kimaskini 7500

Anyway, ni hela zake na sijui amelenga nini.
Kakwambia ni marafiki zake wa Uturuki
 
Nyinyi watu mnawajua Muslim Brotherhood nyinyi? Kwa sasa washika dau wao ni Qatar na Uturuki. Waulizeni wenzenu America na Ulaya. Na lengo ni Ummah utawale dunia
 
Free tundu Lissu.
No reform No election.
No reform No election.
No reform No election.
 
Ogopa rushwa ya nyama, pombe, pilau, khanga kama , kofia at t shirt.
Akili kubwa angemwaga madawati, vitabu au hata kuwalipia wajawazito gharama za uzazi jimboni.
 
Imemwagika damu ya ng'ombe 500😭😭😭😭
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…