Don Masanja
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 1,136
- 1,118
Free tundu lissu
No reform No election
No reform No election
Hayo makafara hatutakii tunataka ajira na maendeleo...acheni upuuzi wenu hatujawahi kusema tunataka vibudu makafara ajili matajiri wenu huko....Wakuu
Wananchi wa Wilaya ya Butiama mkoani Mara wamejikuta wakinusuru fedha zao kwaajili ya bajeti ya kitoweo cha sherehe ya sikukuu ya kuchinja ‘Eid al-Adha’ baada ya Mbunge wa Jimbo la Butiama Jumanne Sagini kuchinja Ng’ombe zaidi 500 na kuwagawia.
Tukio hilo limetokea mapema leo Juni 7, 2025 hatua inayotajwa kuwawezesha wananchi hao bila kujali dini zao wanaungana na wenzao ulimwenguni kusherehekea Eid.
Akizungumzia tukio hilo lililoandaliwa nyumbani kwa Mbunge wa Jimbo la Butiama kwa niaba ya mbunge huyo, Ofesa Mahusiano kutoka ofisi ya Mbunge, Japheth Changalawe amesema Ng’ombe hao 500 wametolewa na marafiki zake kutoka nchini Uturuki.
Amesema hatua hiyo ni ishara ya mshikamano baina yake na marafiki wa nje, viongozi na wananchi na kunaonesha namna tunavyothamini ibada, amani na undugu katika jamii.
Aidha, amesema Ng’ombe hao wamegawanywa kwenye vitongoji 370 na taasisi zote za umma na binafsi zilizopo katika jimbo hilo, kwa ajili ya kitoweo kwa wananchi kipindi hiki cha kusherehekea Sikukuu ya Eid Al-Adha.
View attachment 3359440
Ugawaji wa sadaka hiyo umefanyika kwa siku mbili mfululizo kuanzia jana na leo, kwa kile kinachodaiwa kuwa ni kuonesha moyo View attachment 3359444wa upendo na mshikamano wa Mbunge Sagini kwa wananchi wa jimbo hilo.
Ufisadi mtupu katika maswala kama haya...hio sio bure.
..kuna kitu Waturuki wanakitafuta.
..tutakuja kuwalipa.
Hizi ni kufuru tu. Unashibisha watu kwa mlo mmoja, halafu unajiona wewe umempendeza nani?Wala hakuna cha kulipa ni sadaka waturuki huwatolea jamaa zao waliofariki mara nyingi na ni nchi nzima au sehemu kubwa, kanda ya kati ni maarufu mambo haya.
Hapa sina comment mkuu, zaidi ya kusema.Hizi ni kufuru tu. Unashibisha watu kwa mlo mmoja, halafu unajiona wewe umempendeza nani?
Sasa kwa nini watoe kupitia kwa Mbunge; siyo ku-corrupt' process ya uchaguzi wa viongozi wa wananchi?
Huyu mungu wa kujiumbia wenyewe na kumpa maelekezo nini kiwe thawabu na kipi haramu, hana tofauti yoyote na kinyago.
Siyo ng'ombe wake, amedandia project ya waturuki huwa wanafundi hiyo sikuju ya kuchinja, na hana uwezo wa kubadilisha matumizi500×500,000=250,000,000/=
Dawati moja let say 100,000/=
250M ÷ 100,000 =2500
Dawati moja watoto 3
2500×3=7500
Angenunua madawati ya watoto jimboni kwake angesaidia watoto wa kimaskini 7500
Anyway, ni hela zake na sijui amelenga nini.
Nyota500×500,000=250,000,000/=
Dawati moja let say 100,000/=
250M ÷ 100,000 =2500
Dawati moja watoto 3
2500×3=7500
Angenunua madawati ya watoto jimboni kwake angesaidia watoto wa kimaskini 7500
Anyway, ni hela zake na sijui amelenga nini.
Jee hiyo ni rushwa au sadaka. Wanaojua rushwa kabla ya uchaguzi watuletee ufafanuziHicho ndio wananchi wa jimbo lake wanakitaka?
Waambie hao wabunge waache unafiki,sadaka haitolewi kwa njia hiyo kama wameshindwa kufanya nchi yetu iwe kama Uturuki.
Mkurugenzi wa zamani wa Tume ya Uchaguzi amejiunga lini kwenye Chama Cha siasa ?Mbunge Sagini anajihami kwa kuwapa wananchi takrima mapema dhidi ya Wilson Charles Mahera.
Kama kipindi kilee 1990s mitumba mingi ilikua inafikia kwenye makanisa ya RC, kwa kisingizio Cha kusaidia watu masikini, lakini zinaishia kuuzwa...kila nchi ya kibeberu inatafuta namna ya kuwa na ushawishi kwa Tanzania.
Willis a miafrica Za Ajabu sana…Wakuu
Wananchi wa Wilaya ya Butiama mkoani Mara wamejikuta wakinusuru fedha zao kwaajili ya bajeti ya kitoweo cha sherehe ya sikukuu ya kuchinja ‘Eid al-Adha’ baada ya Mbunge wa Jimbo la Butiama Jumanne Sagini kuchinja Ng’ombe zaidi 500 na kuwagawia.
Tukio hilo limetokea mapema leo Juni 7, 2025 hatua inayotajwa kuwawezesha wananchi hao bila kujali dini zao wanaungana na wenzao ulimwenguni kusherehekea Eid.
Akizungumzia tukio hilo lililoandaliwa nyumbani kwa Mbunge wa Jimbo la Butiama kwa niaba ya mbunge huyo, Ofesa Mahusiano kutoka ofisi ya Mbunge, Japheth Changalawe amesema Ng’ombe hao 500 wametolewa na marafiki zake kutoka nchini Uturuki.
Amesema hatua hiyo ni ishara ya mshikamano baina yake na marafiki wa nje, viongozi na wananchi na kunaonesha namna tunavyothamini ibada, amani na undugu katika jamii.
Aidha, amesema Ng’ombe hao wamegawanywa kwenye vitongoji 370 na taasisi zote za umma na binafsi zilizopo katika jimbo hilo, kwa ajili ya kitoweo kwa wananchi kipindi hiki cha kusherehekea Sikukuu ya Eid Al-Adha.
View attachment 3359440
Ugawaji wa sadaka hiyo umefanyika kwa siku mbili mfululizo kuanzia jana na leo, kwa kile kinachodaiwa kuwa ni kuonesha moyo View attachment 3359444wa upendo na mshikamano wa Mbunge Sagini kwa wananchi wa jimbo hilo.
Haya ni maswali mfu. Jaji Mkuu mstaafu Augustino Ramadhani na aliyewahi kuwa Mwenyekiti ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Bw. Jecha Salum Jecha waliwahi kuchukua fomu za kugombea urais wa Tanzania kupitia CCM sembuse Wilson Mahera.Mkurugenzi wa zamani wa Tume ya Uchaguzi amejiunga lini kwenye Chama Cha siasa ?
Uzuri ni kwamba umeelewa nilicho andika; nisiyoweza kuyasoma hayanipi shida yoyote.Hapa sina comment mkuu, zaidi ya kusema.
ستكتب شهادتهم و يسألون
Hizi ni kufuru tu. Unashibisha watu kwa mlo mmoja, halafu unajiona wewe umempendeza nani?
Sasa kwa nini watoe kupitia kwa Mbunge; siyo ku-corrupt' process ya uchaguzi wa viongozi wa wananchi?
Huyu mungu wa kujiumbia wenyewe na kumpa maelekezo nini kiwe thawabu na kipi haramu, hana tofauti yoyote na kinyago.
Hapa sina comment mkuu, zaidi ya kusema.
ستكتب شهادتهم و يسألون
Umeambiwa kapewa msaada na marafiki zake WATURUKI lazima uelewe Hilo. Hawa WATURUKI wamekuwa na desturi hiyo kulingana na Imani ya dini yao ya KIISLAAM. Na sio huko tu Sisi kule kwenye jimbo letu ni miaka kumi mfululizo kill sikukuu ya Idd el adha tunaletewa nyama ya ng'ombe kupitia mbunge we tu. Kwa hiyo hauwezi kumlaumu mbunge Sagini kwa kuleta nyama500×500,000=250,000,000/=
Dawati moja let say 100,000/=
250M ÷ 100,000 =2500
Dawati moja watoto 3
2500×3=7500
Angenunua madawati ya watoto jimboni kwake angesaidia watoto wa kimaskini 7500
Anyway, ni hela zake na sijui amelenga nini.
Kufanyika miaka mingi haimaanishi ni bora zaidi, wameona uhitaji ni nyama sana?Umeambiwa kapewa msaada na marafiki zake WATURUKI lazima uelewe Hilo. Hawa WATURUKI wamekuwa na desturi hiyo kulingana na Imani ya dini yao ya KIISLAAM.