PreGE2025 Butiama: Mbunge Sagini achinja ng'ombe 500 kutoka uturuki na kugawia wananchi sikukuu ya ‘Eid al-Adha’

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mbunge Sagini anajihami kwa kuwapa wananchi takrima mapema dhidi ya Wilson Charles Mahera.
Mahera hana mkono wa kutoa, so itakua ngumu kushinda kura za maoni labda abebwe na mfumo.
Sagini anajua kuchezesha
 
Wakuu

Wananchi wa Wilaya ya Butiama mkoani Mara wamejikuta wakinusuru fedha zao kwaajili ya bajeti ya kitoweo cha sherehe ya sikukuu ya kuchinja ‘Eid al-Adha’ baada ya Mbunge wa Jimbo la Butiama Jumanne Sagini kuchinja Ng’ombe zaidi 500 na kuwagawia.

Tukio hilo limetokea mapema leo Juni 7, 2025 hatua inayotajwa kuwawezesha wananchi hao bila kujali dini zao wanaungana na wenzao ulimwenguni kusherehekea Eid.

Akizungumzia tukio hilo lililoandaliwa nyumbani kwa Mbunge wa Jimbo la Butiama kwa niaba ya mbunge huyo, Ofesa Mahusiano kutoka ofisi ya Mbunge, Japheth Changalawe amesema Ng’ombe hao 500 wametolewa na marafiki zake kutoka nchini Uturuki.

Amesema hatua hiyo ni ishara ya mshikamano baina yake na marafiki wa nje, viongozi na wananchi na kunaonesha namna tunavyothamini ibada, amani na undugu katika jamii.

Aidha, amesema Ng’ombe hao wamegawanywa kwenye vitongoji 370 na taasisi zote za umma na binafsi zilizopo katika jimbo hilo, kwa ajili ya kitoweo kwa wananchi kipindi hiki cha kusherehekea Sikukuu ya Eid Al-Adha.

View attachment 3359440
Ugawaji wa sadaka hiyo umefanyika kwa siku mbili mfululizo kuanzia jana na leo, kwa kile kinachodaiwa kuwa ni kuonesha moyo View attachment 3359444wa upendo na mshikamano wa Mbunge Sagini kwa wananchi wa jimbo hilo.
Masikini, ng'ombe wa makafara toka kwa Waturuki nasi tunakula bila hata kujuwa ukweli wake. Waafrika bwana.
 
Waache watu wa butiama wazungumzie butiama yao kama wewe sio wa butiama usizungumze jambo ambalo huna uhakika nalo.
Lakini uelewe hawa waturuki wana mradi wao wa kugawa sadaka ya nyama kila inapofika sikukuu ya waislamu ya kuchinja na wameanza miaka kadhaa huko nyuma.
Sasa wewe ukiwaambia hatutaki nyama tunataka maji, au tujengewe madarasa nk wao watapeleka nyama sehemu nyingine.
Lakini kitendo cha mbunge kuwa kiungo cha kupokea hiyo sadaka ya nyama unaweza kuwa mwanzo mzuri wa kushirikiana na hao waturuki katika kutatua changamoto nyingine hata kwa kuelekezwa kwa watu wengine wenye uwezo wa kutoa msaada kwa changamoto husika kwakuwa uturuki ni moja ya nchi tajiri duniani iliyopo bara la ulaya.
Sawa. Acha tuwaachie wenye butiama yao. Na kweli sio vyema kuongelea jambo nisilo lijua
 
Wakuu

Wananchi wa Wilaya ya Butiama mkoani Mara wamejikuta wakinusuru fedha zao kwaajili ya bajeti ya kitoweo cha sherehe ya sikukuu ya kuchinja ‘Eid al-Adha’ baada ya Mbunge wa Jimbo la Butiama Jumanne Sagini kuchinja Ng’ombe zaidi 500 na kuwagawia.

Tukio hilo limetokea mapema leo Juni 7, 2025 hatua inayotajwa kuwawezesha wananchi hao bila kujali dini zao wanaungana na wenzao ulimwenguni kusherehekea Eid.

Akizungumzia tukio hilo lililoandaliwa nyumbani kwa Mbunge wa Jimbo la Butiama kwa niaba ya mbunge huyo, Ofesa Mahusiano kutoka ofisi ya Mbunge, Japheth Changalawe amesema Ng’ombe hao 500 wametolewa na marafiki zake kutoka nchini Uturuki.

Amesema hatua hiyo ni ishara ya mshikamano baina yake na marafiki wa nje, viongozi na wananchi na kunaonesha namna tunavyothamini ibada, amani na undugu katika jamii.

Aidha, amesema Ng’ombe hao wamegawanywa kwenye vitongoji 370 na taasisi zote za umma na binafsi zilizopo katika jimbo hilo, kwa ajili ya kitoweo kwa wananchi kipindi hiki cha kusherehekea Sikukuu ya Eid Al-Adha.

View attachment 3359440
Ugawaji wa sadaka hiyo umefanyika kwa siku mbili mfululizo kuanzia jana na leo, kwa kile kinachodaiwa kuwa ni kuonesha moyo View attachment 3359444wa upendo na mshikamano wa Mbunge Sagini kwa wananchi wa jimbo hilo.
HY HARUDI BUNGENI NIMETAMKA
 
Yeye alituma lini ng'ombe Uturuki.
 
..subiri utasikia tender za wizara atakayoteuliwa Mh.Sagini wanapewa Waturuki.

..kama msaada ni wa kiimani basi ulipaswa kupelekwa ktk jumuiya za kidini na sio kwa kiongozi wa serikali.
Navyojua mbunge sio kiongozi wa serikali bali ni muwakilishi na kiungamishi kati ya wananchi na serikali.
Jambo la pili Jumanne Sagini ni mbunge , ni mtanzania , lakini pia ni muislamu na kuna baadhi ya wapiga kura wake ambao pia ni waislamu.
Sasa kama mbunge kaona fursa ya kuwapatia wapiga kura wake unafuu wa kitoweo cha siku ya Eid Kuna ubaya gani kwa jambo hilo?!
 
Back
Top Bottom