PreGE2025 Butiama: Mbunge Sagini achinja ng'ombe 500 kutoka uturuki na kugawia wananchi sikukuu ya ‘Eid al-Adha’

PreGE2025 Butiama: Mbunge Sagini achinja ng'ombe 500 kutoka uturuki na kugawia wananchi sikukuu ya ‘Eid al-Adha’

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
500×500,000=250,000,000/=
Dawati moja let say 100,000/=
250M ÷ 100,000 =2500

Dawati moja watoto 3
2500×3=7500
Angenunua madawati ya watoto jimboni kwake angesaidia watoto wa kimaskini 7500

Anyway, ni hela zake na sijui amelenga nini.
Kazi kweli kweli...
 
Wewe mzee kafiri tulia. Vitu havikuhusu kaa pembeni.
Wewe ni shetani, halafu unafanya ulaghai uonekane kuwa malaika. Huyo mungu unayetaka kumpendeza ni kinyago ulicho kichonga mwenyewe.
Watu wapumbavu wa aina yako sina uvumilivu nao kabisa.
 
Achana naye huyu kafiri Kalamu mtu mwenye chuki dhidi ya Uislam lakini kazificha anajidai ana hekima.
Huo mnaoutumia nyinyi siyo uislam unaelewa wazi hivyo.
Huwezi kuwa na dini inayowagawa watu katika jamii na wewe kujiweka kwenye kundi la kuwadharau wengine. Huo ni ushetani.
Mungu hawezi kukubali dini ya aina hiyo.
 
Huu sasa ni upuuzi, mbunge mzima msomi anashadidia ibada za sanamu, ibada za makafara. Huku kwingine tumekatatazwa tusile makafara hayo ya ibada za sanamu. Kwanza huu mtindo wa kutoa makafara ukiendelea nchini mifugo itaisha. Mifugo inayochinjwa ni mingi balaa. Kondoo na ng'ombe wanateketezwa balaa! Tutakosa maziwa na mbolea ya samadi. Nchi yetu imegeuzwa ni ya kufanyia makafara ya kidini, tena ni wageni ndio wanaonunua mifugo hiyo kwa wingi na kuchinjwa! Ni ibada ya makafara
Acha matusi wewe pia acha ujinga ng'ombe nchi hii haiwezi kuisha labda itokee janga .

Ng'ombe au mifugo Kwa ujumla ndio biashara inayolipa zaidi katika biashara ya chakula.

Acha roho mbaya hapo hakuna anayeabudu sanamu
 
Mbunge Sagini anajihami kwa kuwapa wananchi takrima mapema dhidi ya Wilson Charles Mahera.
Sagini ni Mbunge sahihi kuliko Charles Mahera.

Charles Mahera ni tapeli tu.

Kwanza alikuwa Mwenyekiti Tume ya Uchaguzi, anaendaje kugombea Ubunge tena.
 
Mnaobwabwaja hapa msiojua kitu zaidi ya chuki.

Hii ni ibada ya eid ya kuchinja kutekeleza Sunna ya nabii Ibrahim.

So kuchinja Kwa ajili ya mungu na kwenda kuchinja Kwa ajili ya mizimu bora kupi
 
Acha matusi wewe pia acha ujinga ng'ombe nchi hii haiwezi kuisha labda itokee janga .

Ng'ombe au mifugo Kwa ujumla ndio biashara inayolipa zaidi katika biashara ya chakula.

Acha roho mbaya hapo hakuna anayeabudu sanamu
sasa povu la nini mjuba?
 
Takrima......

Chauma nao wangeunganisha hapo hapo ubwabwa
 
Wakuu

Wananchi wa Wilaya ya Butiama mkoani Mara wamejikuta wakinusuru fedha zao kwaajili ya bajeti ya kitoweo cha sherehe ya sikukuu ya kuchinja ‘Eid al-Adha’ baada ya Mbunge wa Jimbo la Butiama Jumanne Sagini kuchinja Ng’ombe zaidi 500 na kuwagawia.

Tukio hilo limetokea mapema leo Juni 7, 2025 hatua inayotajwa kuwawezesha wananchi hao bila kujali dini zao wanaungana na wenzao ulimwenguni kusherehekea Eid.

Akizungumzia tukio hilo lililoandaliwa nyumbani kwa Mbunge wa Jimbo la Butiama kwa niaba ya mbunge huyo, Ofesa Mahusiano kutoka ofisi ya Mbunge, Japheth Changalawe amesema Ng’ombe hao 500 wametolewa na marafiki zake kutoka nchini Uturuki.

Amesema hatua hiyo ni ishara ya mshikamano baina yake na marafiki wa nje, viongozi na wananchi na kunaonesha namna tunavyothamini ibada, amani na undugu katika jamii.

Aidha, amesema Ng’ombe hao wamegawanywa kwenye vitongoji 370 na taasisi zote za umma na binafsi zilizopo katika jimbo hilo, kwa ajili ya kitoweo kwa wananchi kipindi hiki cha kusherehekea Sikukuu ya Eid Al-Adha.

View attachment 3359440
Ugawaji wa sadaka hiyo umefanyika kwa siku mbili mfululizo kuanzia jana na leo, kwa kile kinachodaiwa kuwa ni kuonesha moyo View attachment 3359444wa upendo na mshikamano wa Mbunge Sagini kwa wananchi wa jimbo hilo.
Si ajabu hapo butiama hata shule zina hali mbaya na maji hakuna na hoslitali hali mbaya nk watu wa butiama waseme changamoto zao
 
500×500,000=250,000,000/=
Dawati moja let say 100,000/=
250M ÷ 100,000 =2500

Dawati moja watoto 3
2500×3=7500
Angenunua madawati ya watoto jimboni kwake angesaidia watoto wa kimaskini 7500

Anyway, ni hela zake na sijui amelenga nini.
Kwani umeambiwa shule za jimbo lake hazina madawati?!
Isitoshe hao ng'ombe hajatoa yeye ila wametolewa na taasisi ya nchini uturuki inayojishughulisha na shughuli za utoaji wa sadaka ya nyama katika msimu wa sikukuu ya waislamu ya kuchinja!
Yeye mbunge ni kiungo tu cha kufikisha sadaka hiyo kwa wananchi wa jimbo la butiama kinyume na hivyo zingepelekwa maeneo mengine.
Lakini urafiki huo wa mh mbunge na hao waturuki unaweza ukawa mwanzo mzuri wa kupata misaada mingine kama hayo madawati uliyotaja na mengineyo yatakayoobekana kuhitajika na wafadhili hao wakawa na nafasi ya kutoa msaada wa aina hiyo.
 
Si ajabu hapo butiama hata shule zina hali mbaya na maji hakuna na hoslitali hali mbaya nk watu wa butiama waseme changamoto zao
Waache watu wa butiama wazungumzie butiama yao kama wewe sio wa butiama usizungumze jambo ambalo huna uhakika nalo.
Lakini uelewe hawa waturuki wana mradi wao wa kugawa sadaka ya nyama kila inapofika sikukuu ya waislamu ya kuchinja na wameanza miaka kadhaa huko nyuma.
Sasa wewe ukiwaambia hatutaki nyama tunataka maji, au tujengewe madarasa nk wao watapeleka nyama sehemu nyingine.
Lakini kitendo cha mbunge kuwa kiungo cha kupokea hiyo sadaka ya nyama unaweza kuwa mwanzo mzuri wa kushirikiana na hao waturuki katika kutatua changamoto nyingine hata kwa kuelekezwa kwa watu wengine wenye uwezo wa kutoa msaada kwa changamoto husika kwakuwa uturuki ni moja ya nchi tajiri duniani iliyopo bara la ulaya.
 
..kila nchi ya kibeberu inatafuta namna ya kuwa na ushawishi kwa Tanzania.
Imemwagika damu ya ng'ombe 500😭😭😭😭
Kwani ng'ombe wanaochinjwa kila siku na nyama zao kusambazwa kwenye mabucha nchi nzima hawafiki mia tano?! Ukizidisha mara mwezi mzima kisha mara mwaka mzima ni ng'ombe milioni ngapi ambao damu zinamwagika na nyama zao kuishia matumboni mwetu ?! Leo ndio tumeanza kuwahurumia ng'ombe ?!
Basi tuachane nao tule michicha na makabichib kama marastafari na mabaniani!
 
wakuu huyu mbunge mnamlaumu buuree tuu.
Yeye katumika kama daraja ili waturuki watimize lengo lao la kugawa nyama kwa wagalatia.
Ukiwa njema 🧠 hizi nyama huwezi gusa kabisa, wanaangamia kwa kukosa maarifa.🙄
 
..kila nchi ya kibeberu inatafuta namna ya kuwa na ushawishi kwa Tanzania.
Uturuki pamoja na kwamba ipo barani ulaya lakini ni moja ya nchi ambazo huwezi kuikuta ikiingilia mambo ya nchi nyingine kama zilivyo nchi nyingine tunazoziita za kibeberu.
Kwahiyo kwa tafsiri ubeberu kama unyonyaji wa nchi zinazoendelea uturuki haina sifa hiyo.
Kwa ufafanuzi zaidi ni kwamba moja ya miradi ya waturuki inayoendeshwa hapa nchini ni shule za sekondari za kimataifa za feza boys na feza girls.
 
Uturuki pamoja na kwamba ipo barani ulaya lakini ni moja ya nchi ambazo huwezi kuikuta ikiingilia mambo ya nchi nyingine kama zilivyo nchi nyingine tunazoziita za kibeberu.
Kwahiyo kwa tafsiri ubeberu kama unyonyaji wa nchi zinazoendelea uturuki haina sifa hiyo.
Kwa ufafanuzi zaidi ni kwamba moja ya miradi ya waturuki inayoendeshwa hapa nchini ni shule za sekondari za kimataifa za feza boys na feza girls.

..subiri utasikia tender za wizara atakayoteuliwa Mh.Sagini wanapewa Waturuki.

..kama msaada ni wa kiimani basi ulipaswa kupelekwa ktk jumuiya za kidini na sio kwa kiongozi wa serikali.
 
Back
Top Bottom