PreGE2025 Butiama: Mbunge Sagini achinja ng'ombe 500 kutoka uturuki na kugawia wananchi sikukuu ya ‘Eid al-Adha’

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hayo makafara hatutakii tunataka ajira na maendeleo...acheni upuuzi wenu hatujawahi kusema tunataka vibudu makafara ajili matajiri wenu huko....
 
..hio sio bure.

..kuna kitu Waturuki wanakitafuta.

..tutakuja kuwalipa.
Ufisadi mtupu katika maswala kama haya.
Mbunge mwenyewe tayari anatoa rushwa kungali mapema kabisa.

Watu watakapokuwa na elimu ya kutosha, watu wa aina hii ndio watakaokuwa wanadondshwa kungali mapema kabisa.

Hawa watu wa nje bado wanawaona waTanzania kama 'subhuman', wenye akili zinazochotwa kirahisi kama hizi za kupewa mlo wa siku moja!
 
Wala hakuna cha kulipa ni sadaka waturuki huwatolea jamaa zao waliofariki mara nyingi na ni nchi nzima au sehemu kubwa, kanda ya kati ni maarufu mambo haya.
Hizi ni kufuru tu. Unashibisha watu kwa mlo mmoja, halafu unajiona wewe umempendeza nani?

Sasa kwa nini watoe kupitia kwa Mbunge; siyo ku-corrupt' process ya uchaguzi wa viongozi wa wananchi?
Huyu mungu wa kujiumbia wenyewe na kumpa maelekezo nini kiwe thawabu na kipi haramu, hana tofauti yoyote na kinyago.
 
Hapa sina comment mkuu, zaidi ya kusema.

ستكتب شهادتهم و يسألون
 
500×500,000=250,000,000/=
Dawati moja let say 100,000/=
250M ÷ 100,000 =2500

Dawati moja watoto 3
2500×3=7500
Angenunua madawati ya watoto jimboni kwake angesaidia watoto wa kimaskini 7500

Anyway, ni hela zake na sijui amelenga nini.
Siyo ng'ombe wake, amedandia project ya waturuki huwa wanafundi hiyo sikuju ya kuchinja, na hana uwezo wa kubadilisha matumizi
 
500×500,000=250,000,000/=
Dawati moja let say 100,000/=
250M ÷ 100,000 =2500

Dawati moja watoto 3
2500×3=7500
Angenunua madawati ya watoto jimboni kwake angesaidia watoto wa kimaskini 7500

Anyway, ni hela zake na sijui amelenga nini.
Nyota
 
Mbunge Sagini anajihami kwa kuwapa wananchi takrima mapema dhidi ya Wilson Charles Mahera.
Mkurugenzi wa zamani wa Tume ya Uchaguzi amejiunga lini kwenye Chama Cha siasa ?
 
..kila nchi ya kibeberu inatafuta namna ya kuwa na ushawishi kwa Tanzania.
Kama kipindi kilee 1990s mitumba mingi ilikua inafikia kwenye makanisa ya RC, kwa kisingizio Cha kusaidia watu masikini, lakini zinaishia kuuzwa.
 
Willis a miafrica Za Ajabu sana…
App ukute sehem inashida ya umeme maji na barabara .
angejenga hata shule tu
 
Sina hakika kama sheria zimebadilika. Pasco wa ukweli angesaidia lakini juyu wa sasa sina imani naye sana.
Kwamba kiongozi wa umma akipewa zawadi yenye thamani ya kusnxia elfu 50 atapaswa kuikabidhi serikalini
Hii sheria ilibadilika lini?
 
Mkurugenzi wa zamani wa Tume ya Uchaguzi amejiunga lini kwenye Chama Cha siasa ?
Haya ni maswali mfu. Jaji Mkuu mstaafu Augustino Ramadhani na aliyewahi kuwa Mwenyekiti ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Bw. Jecha Salum Jecha waliwahi kuchukua fomu za kugombea urais wa Tanzania kupitia CCM sembuse Wilson Mahera.
 
Shule hazina madawati vitabu sio kipaumbele kipaumbele nyama ili taifa hili
 
Hiyo aliyogawa hapo zao lake ni kinyesi cha siku Moja tu watanzania tuamke watu kama Hawa tuwakatae .
 


Wewe mzee kafiri tulia. Vitu havikuhusu kaa pembeni.
 
500×500,000=250,000,000/=
Dawati moja let say 100,000/=
250M ÷ 100,000 =2500

Dawati moja watoto 3
2500×3=7500
Angenunua madawati ya watoto jimboni kwake angesaidia watoto wa kimaskini 7500

Anyway, ni hela zake na sijui amelenga nini.
Umeambiwa kapewa msaada na marafiki zake WATURUKI lazima uelewe Hilo. Hawa WATURUKI wamekuwa na desturi hiyo kulingana na Imani ya dini yao ya KIISLAAM. Na sio huko tu Sisi kule kwenye jimbo letu ni miaka kumi mfululizo kill sikukuu ya Idd el adha tunaletewa nyama ya ng'ombe kupitia mbunge we tu. Kwa hiyo hauwezi kumlaumu mbunge Sagini kwa kuleta nyama
 
Umeambiwa kapewa msaada na marafiki zake WATURUKI lazima uelewe Hilo. Hawa WATURUKI wamekuwa na desturi hiyo kulingana na Imani ya dini yao ya KIISLAAM.
Kufanyika miaka mingi haimaanishi ni bora zaidi, wameona uhitaji ni nyama sana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…