PreGE2025 Butiama: Mbunge Sagini achinja ng'ombe 500 kutoka uturuki na kugawia wananchi sikukuu ya ‘Eid al-Adha’

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mbunge Sagini anajihami kwa kuwapa wananchi takrima mapema dhidi ya Wilson Charles Mahera.
Mahera hana mkono wa kutoa, so itakua ngumu kushinda kura za maoni labda abebwe na mfumo.
Sagini anajua kuchezesha
 
Masikini, ng'ombe wa makafara toka kwa Waturuki nasi tunakula bila hata kujuwa ukweli wake. Waafrika bwana.
 
Sawa. Acha tuwaachie wenye butiama yao. Na kweli sio vyema kuongelea jambo nisilo lijua
 
HY HARUDI BUNGENI NIMETAMKA
 
Yeye alituma lini ng'ombe Uturuki.
 
..subiri utasikia tender za wizara atakayoteuliwa Mh.Sagini wanapewa Waturuki.

..kama msaada ni wa kiimani basi ulipaswa kupelekwa ktk jumuiya za kidini na sio kwa kiongozi wa serikali.
Navyojua mbunge sio kiongozi wa serikali bali ni muwakilishi na kiungamishi kati ya wananchi na serikali.
Jambo la pili Jumanne Sagini ni mbunge , ni mtanzania , lakini pia ni muislamu na kuna baadhi ya wapiga kura wake ambao pia ni waislamu.
Sasa kama mbunge kaona fursa ya kuwapatia wapiga kura wake unafuu wa kitoweo cha siku ya Eid Kuna ubaya gani kwa jambo hilo?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…