Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,095
- 4,632
Hii imetokea Desemba 24 kijijini Butiama ambapo Richard (Nyerere) Masanza mtoto wa dada yake Mwalimu Nyerere amefariki Dunia baada ya kuugua kwa muda mfupi.
Richard amesoma shule ya msingi hapa Dar es Salaam, Kurasini.
Alas,that is the only education he had.
Ni binamu yangu,mtoto wa shangazi Nyakigi. Tulikuwa tunasoma shule ya msingi Kurasini.
Ile shule yetu ya zamani sasa hivi ndio Makao Makuu ya Kanisa Katoliki Tanzania.
Kwa hiyo watu huko kijijini Butiama wamekuwa na Christmas ya kuomboleza somewhat kwa ajili ya hiki kifo.
But he was not young,70+ years old.
RIP Richard.