babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Mwalimu JK angeona haya yanafanyika sasa basi tu🥲.Ndio, hakuzalisha Ridhiwani na Abduli kwa saab hakuwa mpiga dili.
Imagine Poppy Hatton anasema alisoma Kurasini Primary. Huyu ni the first born, miaka ya 50 na, babaao kapanga chumba na sebule Magomeni. Sasa sijui kina walikuwa wanapiga teke kwenda shule Kurasini au vipi.
Hao ndio wazee wetu, mpaka leo poppy hatton anadeka kwa mama anakula wali maharage bila tabu.
Hataki makuu,marehemu huyo wamesoma wote ana miaka 70 ina maana Andrew yuko 68-70 yuko msasani kwa Mama.
Butiama walimkimbiza alisema mwenyewe hapa mwaka jana.
Alipopanda kuwa Mfalme wa Tanganyika, Julius hakusahau alikotoka.