Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,095
- 4,632
Lakini elimu yenyewe haina mwisho. Mtu anaweza kuwa mzee, bado akaanza shule ya msingi.Hawa walizaliwa wavulana watatu.
Well, education ni tatizo.
In the past we could not look into the future and understand that education is everything, and that a person should be educated at all costs.
Richard ni nduguye na Antony? Nani mkubwa kati yaoHii imetokea Desemba 24 kijijini Butiama ambapo Richard (Nyerere) Masanza mtoto wa dada yake Mwalimu Nyerere amefariki Dunia baada ya kuugua kwa muda mfupi.
Richard amesoma shule ya msingi hapa Daressalaam, Kurasini.
Alas,that is the only education he had.
Ni binamu yangu,mtoto wa shangazi Nyakigi. Tulikuwa tunasoma shule ya msingi Kurasini.
Ile shule yetu ya zamani sasa hivi ndio Makao Makuu ya Kanisa Katoliki Tanzania.
Kwa hiyo watu huko kijijini Butiama wamekuwa na Christmas ya kuomboleza somewhat kwa ajili ya hiki kifo.
But he was not young,70+ years old.
RIP Richard.
Ni ndagu ile!Lakini elimu yenyewe haina mwisho. Mtu anaweza kuwa mzee, bado akaanza shule ya msingi.
Kwani ule mpango wa Baba wa Taifa - kuhusu UPE na NGUMBARU - familia yake mwenyewe haikuufanyia utekelezaji makhususi?
Mkuu unamaanisha niniRip Richard, Andrew leo hujanywa dawa wewe na usiende Butiama.
RIPHii imetokea Desemba 24 kijijini Butiama ambapo Richard (Nyerere) Masanza mtoto wa dada yake Mwalimu Nyerere amefariki Dunia baada ya kuugua kwa muda mfupi.
Richard amesoma shule ya msingi hapa Dar es Salaam, Kurasini.
Alas,that is the only education he had.
Ni binamu yangu,mtoto wa shangazi Nyakigi. Tulikuwa tunasoma shule ya msingi Kurasini.
Ile shule yetu ya zamani sasa hivi ndio Makao Makuu ya Kanisa Katoliki Tanzania.
Kwa hiyo watu huko kijijini Butiama wamekuwa na Christmas ya kuomboleza somewhat kwa ajili ya hiki kifo.
But he was not young,70+ years old.
RIP Richard.
Ni kweli kabsa, Richard hana jina la babake mpaka aitwe jina la mjomba?Rip Richard, Andrew leo hujanywa dawa wewe na usiende Butiama.
Ila RICHARD sio mtoto wa Nyerere,Ukoo wa Nyerere kuna kitu nahisi hakipo Sawa,shida au upumbavu ni kwamba walibweteka sana kwa kuamini kuwa Ndugu/Baba yao ni Mkuu wa Nchi tena mwenye kuheshimika kuliko yoyote hapa Tanzania basi wataishi kwa raha na fanaka miaka yao yote bila kujiongeza kufanya kazi,kufanya savings au kujituma kimasomo
Makongoro,Madaraka na kina Ester et al………..wamepelekwa shule mpaka nje lakin wanaishia kuharibu wanarudi nyumbani kunywa pombe,bangi,gongo na ugoro kwa wingi
Majuto ni Mjukuu,msipojiongeza msomeshe watoto/wajukuu wenu hali itakuwa kama sisi tu watoto wa wakulima
Hivi kwanini hamjifunzi kwa Wahuni kama Ridhiwani,Hussein Mwinyi au huyu pedeshee Abdul mutoto ya Mama!??