Kinjekitile Jr
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 566
- 1,583
Mjomba ni Mama au hujui hilo!???Ila RICHARD sio mtoto wa Nyerere,
Neno dishi kuyumba sidhani kama ni sahihiMleta Uzi ni yule mtoto wa baba wa taifa ambae dishi limeyumba.
Mtoto wa dada siyo ukoo wa Nyerere acheni kupotosha.Hii imetokea Desemba 24 kijijini Butiama ambapo Richard (Nyerere) Masanza mtoto wa dada yake Mwalimu Nyerere amefariki Dunia baada ya kuugua kwa muda mfupi.
Richard amesoma shule ya msingi hapa Dar es Salaam, Kurasini.
Alas,that is the only education he had.
Ni binamu yangu,mtoto wa shangazi Nyakigi. Tulikuwa tunasoma shule ya msingi Kurasini.
Ile shule yetu ya zamani sasa hivi ndio Makao Makuu ya Kanisa Katoliki Tanzania.
Kwa hiyo watu huko kijijini Butiama wamekuwa na Christmas ya kuomboleza somewhat kwa ajili ya hiki kifo.
But he was not young,70+ years old.
RIP Richard.
Watanzania tuna shida kubwa sana. Rais akibeba ukoo wake wote tunapiga kelele. Aki-play fair tunapiga kelele! Hivi vichwa vyetu vikoje? Mtoto wa dada yake mwalimu ni mtu wa mbali kabisa kwenye familia ya mwalimu, hasa ukizingatia kuwa familia yake ni kubwa sana. Wewe ndugu Kinjekitile Jr huwa una-take care watoto wote wa dada yako? Dada yako ameolewa na pengine unaweza kuwa na dada hata sita, utafuatilia watoto wake wote na kuhakikisha wamesoma? Nadhani huyu dada yake aliolewa na kwenda kuanzisha familia nyingine kabisa na wa kulaumiwa na huo huyo baba aliyemuoa na familia yake. Sikulaumu ila pengine ni hii tabia ya kutambulisha watu wote wa ukoo wa Nyerere kwa kutumia phrase ''....................wa baba wa taifa Nyerere kafanya................''. Yaani hata watu ambao walikuwa hawapaswi kutambulishwa kwa kutumia jina la Nyerere wanatambulishwa hivyo. Binamu wa baba wa taifa, mjukuu wa baba wa taifa, mtoto wa shangazi wa baba wa taifa, kitukuu cha baba wa taifa, mtoto wa dada yake na shangazi wa baba wa taifa etc. Hii ndiyo inakuwa kama ullusion ya kufanya watu waone kuwa Nyerere alitakiwa ashughulike na watu wote walio associated na ukoo mzima.Ukoo wa Nyerere kuna kitu nahisi hakipo Sawa,shida au upumbavu ni kwamba walibweteka sana kwa kuamini kuwa Ndugu/Baba yao ni Mkuu wa Nchi tena mwenye kuheshimika kuliko yoyote hapa Tanzania basi wataishi kwa raha na fanaka miaka yao yote bila kujiongeza kufanya kazi,kufanya savings au kujituma kimasomo
Makongoro,Madaraka na kina Ester et al………..wamepelekwa shule mpaka nje lakin wanaishia kuharibu wanarudi nyumbani kunywa pombe,bangi,gongo na ugoro kwa wingi
Majuto ni Mjukuu,msipojiongeza msomeshe watoto/wajukuu wenu hali itakuwa kama sisi tu watoto wa wakulima
Hivi kwanini hamjifunzi kwa Wahuni kama Ridhiwani,Hussein Mwinyi au huyu pedeshee Abdul mutoto ya Mama!??
Was this Necessary to be inserted in his Obituary ?Richard amesoma shule ya msingi hapa Dar es Salaam, Kurasini.
Alas,that is the only education he had.
You can be better than this. Nchi yetu sijui ni kwa sababu tunazaliwa na kukulia kwenye umaskini ndiyo maana kila mtu anakuwa na roho mbaya. Ugonjwa wa akili ni disability kama nyingine zilivyo, hivyo tusionyeshe kebehi au lughu isiyo na staha wakati wa kuongelea. Hakuna mtu anayepeleka application ya kuzaliwa na ugonjwa wa akili. Kwa society tuliyonayo sasa hivi, naona polisi kama Mafwele wakizidi kuongezeka...Mleta Uzi ni yule mtoto wa baba wa taifa ambae dishi limeyumba.
Msiba wake una tofauti ipi na mingine?Hii imetokea Desemba 24 kijijini Butiama ambapo Richard (Nyerere) Masanza mtoto wa dada yake Mwalimu Nyerere amefariki Dunia baada ya kuugua kwa muda mfupi.
Richard amesoma shule ya msingi hapa Dar es Salaam, Kurasini.
Alas,that is the only education he had.
Ni binamu yangu,mtoto wa shangazi Nyakigi. Tulikuwa tunasoma shule ya msingi Kurasini.
Ile shule yetu ya zamani sasa hivi ndio Makao Makuu ya Kanisa Katoliki Tanzania.
Kwa hiyo watu huko kijijini Butiama wamekuwa na Christmas ya kuomboleza somewhat kwa ajili ya hiki kifo.
But he was not young,70+ years old.
RIP Richard.
Imezoeleka kiafrika wanaomzunguka Rais hata kwa mbali lazima waneemeke sana ndio maana watu wanashangaa kwa watoto, wajukuu, wajomba, wapwa, binadamu, shangazi na ndugu wengine wa Nyerere hali imekuwa tofauti kabisa.Watanzania tuna shida kubwa sana. Rais akibeba ukoo wake wote tunapiga kelele. Aki-play fair tunapiga kelele! Hivi vichwa vyetu vikoje? Mtoto wa dada yake mwalimu ni mtu wa mbali kabisa kwenye familia ya mwalimu, hasa ukizingatia kuwa familia yake ni kubwa sana. Wewe ndugu Kinjekitile Jr huwa una-take care watoto wote wa dada yako? Dada yako ameolewa na pengine unaweza kuwa na dada hata sita, utafuatilia watoto wake wote na kuhakikisha wamesoma? Nadhani huyu dada yake aliolewa na kwenda kuanzisha familia nyingine kabisa na wa kulaumiwa na huo huyo baba aliyemuoa na familia yake. Sikulaumu ila pengine ni hii tabia ya kutambulisha watu wote wa ukoo wa Nyerere kwa kutumia phrase ''....................wa baba wa taifa Nyerere kafanya................''. Yaani hata watu ambao walikuwa hawapaswi kutambulishwa kwa kutumia jina la Nyerere wanatambulishwa hivyo. Binamu wa baba wa taifa, mjukuu wa baba wa taifa, mtoto wa shangazi wa baba wa taifa, kitukuu cha baba wa taifa, mtoto wa dada yake na shangazi wa baba wa taifa etc. Hii ndiyo inakuwa kama ullusion ya kufanya watu waone kuwa Nyerere alitakiwa ashughulike na watu wote walio associated na ukoo mzima.
Mbona ndugu wa ukoo wa Mkapa hali siyo hivyo japo kuna wachovu kabisa tena wengi? Kwa Kikwete pia. Kwa Mwinyi pia. Tatizo liko kwa Nyerere tu?Imezoeleka kiafrika wanaomzunguka Rais hata kwa mbali lazima waneemeke sana ndio maana watu wanashangaa kwa watoto, wajukuu, wajomba, wapwa, binadamu, shangazi na ndugu wengine wa Nyerere hali imekuwa tofauti kabisa.
Muulize poppy hatton.Mkuu unamaanisha nini
No hao wasanii wanatumia jina tu.Poleni wafiwa! Huyo ana undugu na stive Nyerere au Yericko Nyerere?.
Hii family haijatoa liz one wala aiduli kwa miongo yote