TANZIA Butiama, mtoto wa dada yake Mwalimu Nyerere afariki Dunia

Mwalimu JK angeona haya yanafanyika sasa basi tu🥲.
Hao ndio wazee wetu, mpaka leo poppy hatton anadeka kwa mama anakula wali maharage bila tabu.
Hataki makuu,marehemu huyo wamesoma wote ana miaka 70 ina maana Andrew yuko 68-70 yuko msasani kwa Mama.
Butiama walimkimbiza alisema mwenyewe hapa mwaka jana.
Alipopanda kuwa Mfalme wa Tanganyika, Julius hakusahau alikotoka.
 
Kwa mkoa wa Musoma makabila mengi Kati Yao 180 yaliyopo Mkoani hapo wanatumia Matrilineal so RICHARD NYERERE ni sawa kachukulia jina la ujombani
 
Asante sana mkuu, ni binadamu hawa.
Kuumwa kawaida tu hatuna haja ya kulaumiana kupeana kejeli.
Anayefanya hivyo hajaingia pale muhimbili siku hizi sijui mnaita mloganzila.
Sisi tuliopita huko😥🤲.
 
Watoto wa Nyerere wamesoma wote na Kama alivyosema hapo juu huyo 1st born wa Baba wa Taifa zamani baadhi ya watu hawakuipa umuhimu Elimu.
 
Tatizo ukizaliwa katika familia ya uhakika wa milo 3 ,watoto wengi ujisahau na kuja kushtuka wakati kunakucha na madhara uwa ni baadae sana
 

Mtu anaeanzisha mjadala wa ndugu yake kukosa elimu hawezi kusemwa yeye ndio ana ugonjwa wa akili.

Poppy Haton alipasije mitihani ya differential equations ya Engineering Department University of D'Salaam mpaka akapewa degree ?

Na ni huyu aliyekuwa navy pilot wa JWTZ. Kama sio huyu basi Nyerere historians wengine mtanisahihisha. Sasa mbona hakuangusha hizo ndege ?

AU waliompa Poppy Haton ma degree na ma ndege ya kuendesha na wao ni machizi ??????

Sio kila mtu mwenye eccentricities and idiosyncracies zake ni chizi.
 
Nahisi waolijawa na uoga wa kucompit na Mwl kielimu au hawakuona umuhimu wa elimu waliona washajipata kupitia jina la Mwl au waliona washasomewa na mwl so elimu hawakuona thamani ya elimu so wakaridhika na ile kuwa kwenye ukoo wa mwl au walitaraj favour kutoka kwa mwl lakini haikuwa hivyo ...hii ndio maana halisi ya mtegemea cha nduguye
 
Wangekuwa Wana Shule, wengi wangeingizwa kwenye system
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…