Hana mchango wowote, mchango pekee alio nao ni kuua vyama vya ushirika. Huyu Butiku enzi ya Nyanza Cooperative Union ina nguvu, alienda Mwanza Hotel, akawa anapata kinywaji, akamuona binti mkaali balaa, akamtongoza, binti akagoma, akasema Butiku atampa nini wakati yeye(binti) anatoka na Afisa wa Nyanza. Kwanza akauliza Butiku ndio nani nchi hii.
Butiku mbio kwa Nyerere, akaenda kumjaza ujinga kwamba kuna watu/taasisi zina nguvu kuliko Rais, na wanachi wanaziheshimu kuliko Rais. Nyerere kusikia hivyo, na alivyokuwa na hofu ya madaraka, kavunja vyama vyote vy ushirika, akaviweka chini ya serikali.
Yaliyobaki ni historia, ambayo huwezi kuacha kuioanisha na kilio cha wakulima na kilimo nchi hii.