Pre GE2025 Butiku: Acheni kumchangia Rais Samia fomu ya kugombea Uras, kuendelea kufanya hivyo ni kuunga mkono rushwa

Pre GE2025 Butiku: Acheni kumchangia Rais Samia fomu ya kugombea Uras, kuendelea kufanya hivyo ni kuunga mkono rushwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Huyu mzee ni mjinga, halafu huwa anajiona ana akili sana. Ukimuuliza alishafanyoa nini nchi hii, hakuna
Unamwambiaje mjinga mzee mwenye umri wa baba yako au hata zaidi, Ujinga wake nini hapo, au kukemea rushwa ndio ujinga?
 
"Wananchi watawezaje kulala kama kiongozi wanayemtegemea anaweza kudanganywa na akapitisha uamuzi wenye athari kwa taifa?"~Butiku

☝🏿Hayo juu yalisemwa na Mzee Butiku miaka mingi iliyopitwa.

Simshangai. Ni mtu anaye nena ukweli siku zote.

Azidishiwe Busara na Muumba.
 
Kuendelea kwa Samia baada ya 2025 itakuwa ni mwanzo wa kuibadili kabisa Tanzania toka iwepo. Muungano hautakuwa muungano tena, na inawezekana kabisa tukaingia kwenye machafuko.
Sioni akibadilika kuwa kitu kingine zaidi ya alivyo sasa. Nchi itagawanyika sana.

Hata na mimi kwa mtazamo wangu, kama Maza anaitakia mema nchi yetu itakuwa ni vema akaachia nchi 2025 .... Ni dhahiri kabisa kuwa Watanganyika hawataki kutawaliwa na Mzanzibar. Hizi kelele zitaongezeka sana wakati wa kampeni za uchaguzi iwapo ataendelea na zitakuwa mbaya zaidi kama atabeba kiti 2030.

The only strategy anayoweza kuitumia kupoza mambo labda ni kutangaza katiba mpya immediately baada ya kuiba uchaguzi wa 2025 maana hiyo dhana ya ushindi haipo.
 
Nchi iko imara sana

Nyerere angafukfuka leo halafu asikie kuwa umeleta waarabu wamiliki Bandari na viwanja vya ndege ili waingize silaha na mapori ya kujifunzia ugaidi angekushangaa sana kusema nchi iko imara.

Baba wa Ugaidi ni wizi wa Rasilimali duniani ni Marekani.

Marekani = Falme za kiarabu = Korea kusini = Ugaidi na wizi wa rasilimali Afrika na duniani= kupenyeza Ushoga na usagaji .

Tafakari acha ushabiki wa kutafuta maslahi .
Taifa linaangamizwa na wale tuliowaamini.Shetani amepitia tamaa ya mali kuwaangamiza wanadamu.

Mungu ndiye atakaye shinda .
 
Sasa nawe unatafuta njia ya kujadili na mimi?
Ninapojibu chochote unachoandika humu sitafuti kujuwa chochote toka kwako, bali kukupa tu taarifa juu ya ubovu wa akili yako. Hicho chuo cha cha wazee wa Kariakoo kimewaharibu akili.
 
Hicho chuo ni kipi?
 
Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere Foundation, Joseph Butiku amewaonya wanasiasa na wanachama wa CCM kuacha mara moja kampeni za kumchangia Rais Dkt. Samia Suluhu fomu ya kuwania nafasi hiyo tena kwa mwaka 2025-2030, akisema kuendelea kufanya hivyo ni kuunga mkono rushwa.

Butiku ameyasema hayo katika Kongamano la Miaka Mitatu ya Taasisi ya Kizalendo ya Tanzania Patriotic Organisation (TPO) lililofanyika katika Ukumbi wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Posta jijini Dar es Salaam.

Katika ufunguzi wa Kongamano hilo Taasisi ya Tanzania Patriotic Organisation nayo haikusita kukemea ubadhirifu na rushwa huku ikiwataka Watanzania kuwa wamoja na wazalendo wanaposimamia mali za umma

Pia soma:
 
Ndio maana viongozi Tz wanaongoza maiti tofauti na nchi nyingine za afrika mashariki zinazoongoza waliozirai
 
Ningekuwa na ujamaa na ‘bi-tozo’ ningemuomba aniruhusu nianzishe taasisi ya kupokea michango ya watu wanaomchangia hela za form ya uraisi.

Nchi imejaa wapuuzi sana walau ndugu mmoja afaidike na huu ujinga wa watu wa bara.
 
Nina helicopter [emoji576] nataka nimchangie Mama unapatikana wapi nikuletee!?
 
Nina helicopter [emoji576] nataka nimchangie Mama unapatikana wapi nikuletee!?
Ngoja nitafute jamaa yake mmoja kwanza apate kibali cha ‘bi-tozo’ tutawapa address ya ofisi.

Vinginevyo mimi mwenyewe kukusanya hizo hela bila ya baraka ya ‘bi-tozo’ hawa majamaa (jeshi la polisi) wazushi watanikamata kwa madai utapeli kupitia jina la raisi, wakati kuna watu wanataka kutoa sadaka wenyewe hakuna mpokeaji.
 
Back
Top Bottom